PYTHON SOMO LA 59: KUFANYA MAHESABU (AGGREGATIONS) KATIKA DJANGO Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutumia Django ORM kufanya mahesabu mbalimbali kama Sum, Avg, Count, Max, Min, pamoja na kupunguza idadi ya items zinazoonekana kwenye dashboard (LIMIT). Pia tutajifunza namna ya kutengeneza “difference” kati ya thamani kubwa na ndogo bila kubadilisha functions zozote ulizokwisha ziandika.