CSS - SOMO LA 7: KUTUMIA FONTI (FONTS) KWENYE CSS Katika somo hili utajifunza jinsi ya kudhibiti mwonekano wa maandishi kwa kutumia fonti kwenye CSS. Utajifunza jinsi ya kubadilisha aina ya fonti, ukubwa, mtindo, unene, na mpangilio wa maandishi ili yaweze kuonekana kwa mvuto na usomaji bora.