Uandishi wa hadithi wakati wa mtume (s.a.w)

Uandishi wa hadithi wakati wa mtume (s.a.w)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. SUNNAH NA HADITH 

     6.1 Uandishi wa Hadith za Mtume (s.a.w).

I. Uandishi wa Hadith wakati wa Mtume (s.a.w).

          -    Hapakuwa na uandishi mkubwa wa Hadith wakati wa Mtume (s.a.w) kwa sababu zifuatazo;

  1. Mtume (s.a.w) mwenyewe alikuwepo, hivyo walimfuata kupata maelekezo yake na kuiga mwenendo wake.

 

  1. Kipindi hicho maswahaba walijishughulisha sana na uandishi, uifadhi na utekelezaji wa mafundisho wa Qur’an katika maisha yao yote.

 

  1. Mwanzo, Mtume (s.a.w) aliwakataza maswahaba wake kuandika Hadith ili wasijekuchanganya na aya za Qur’an.

- Lakini hata alipowaruhusu hawakujishughulisha kuandika Hadith tena,  

   kwani walizoea kutoandika.

 

  1. Kipindi hicho, Mtume (s.a.w) na maswahaba walijishughulisha zaidi katika kuusimamisha Uislamu na kuuhami na maadui.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF Views: 4487

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 ai web app     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

jamii somo la 26

(vii)Hufanya bias hara na Allah (s.

Soma Zaidi...
(xiii)Huwa muaminifu

Waumini wa kweli waliofuzu huchunga amana.

Soma Zaidi...
sura ya 02

Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa

Soma Zaidi...