image

Uandishi wa hadithi wakati wa tabiina (wafuasi wa maswahaba)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Uandishi wa Hadith Wakati wa Tabi’ina (wafuasi wa maswahaba), 

      (101 A.H – 200 A.H).

 

 

  1.   Imamu Abu Hanifa Al-Nu’man bin Thabit (80 – 150A.H).

        -  Mwanachuoni wa Qur’an na Hadith katika mji wa Kufa, Iraq.

        -  Alitoa Fat’wa za kifiq kwa kutumia Qur’an, Hadith na Ijmaa.

        -  Hakuandika kitabu chochote.

 

  1.   Imam Malik bin Anas (95 – 179 A.H).

          -  Mwanachuoni mcha-Mungu wa mji wa Madinah.

          -    Aliandika kitabu mashuhuri cha Hadith kiitwacho, “Al-Muwatta”   kilichotegemewa na umma wa waislamu katika ibada maalum tu.

-  Alifutu mas’ala ya Uislamu kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah tu.

   

  1.   Imam Muhammad bin Idris Al-Shafii (150 – 204 A.H).

-  Mwanachuoni mkubwa wa sheria za Kiislamu aliyezaliwa Gaza, Palestina.

-  Imam Malik bin Anas ni miongoni mwa walimu wake.

-  Alitoa fat’wa kwa mujibu wa Qur’an,  Hadith na Ijmaa (na Qiyaas pia).

-  Hakuandika kitabu chochote cha Hadith. 

 

  1.   Imam Ahmad bin Muhammad bin Hambal (164 – 241 A.H).

-  Mwanachuoni mkubwa wa Fiqh na elimu ya Hadith aliyezaliwa mji wa

    Baghdad, Iraq.

 -  Imam Shafii alikuwa mwalimu wake.

 -  Imam Ahmad alitoa fat’wa tofauti na mwalimu wake, Imam Shafii lakini

     waliheshimiana sana.

 -  Aliandika kitabu cha Hadith kiitwacho, “Isnad ya Ibn Hambal”

     kilichokusanya zaidi ya Hadith 30,000.    

 

  1. Al-Muwatta cha Imam Malik bin Anas.
  2. Isnad ya Ibn Hambal (Musnad Ahmad) cha Imam Ahmad bin Hambal.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1845


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

quran na sayansi
QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh. Soma Zaidi...

Zoezi 2:2
Soma Zaidi...

jamii zoezi
Zoezi 2:1 1. Soma Zaidi...

Uandishi wa hadithi wakati wa mtume (s.a.w)
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Zingatio:
Swala husimama kwa kuhifadhiwa na kuswaliwa kwa khushui na kudumu na swala katika maisha yote. Soma Zaidi...

Kitabu Cha Quran na sayansi
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...

Kitabu Cha Darsa za dua
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...

Neno la awali
Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Soma Zaidi...

nini maana ya Unafiki na sifa za unafiki katika quran na sunnah
Mnafiki ni yule anayeukubali Uislamu mdomoni (kwa kauli tu) lakini moyoni mwake na katika matendo yake anaukanusha. Soma Zaidi...

Uchambuzi wa hadithi za mtume
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Mawaidha Kutokwa kwa Shekhe
Karibu kwenye Darsa za mawaidha na Mafundisho ya dini. Soma Zaidi...

Kwanini Ni muhimu kusimamisha uislamu katika jamii
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...