image

Uchafu unaotoka ukeni na rangi zake.

Posti hii inahusu zaidi uchafu unaotoka ukeni na rangi zake, kwa kawaida ukeni utolewa uchafu, uchafu huo unaweza kuwa kawaida na unaweza kuwa na rangi mbalimbali kutokana na kuwepo kwa Maambukizi.

Uchafu kutoka ukeni na rangi zake.

1. Kuna uchafu wenye rangi ya kahawia na uambatana na damu.

Uchafu huu unaweza kutoka kwa wale ambao wanaingia kwenye siku zao za mwezi na wale ambao wameshamaliza, kwa wale wanaoingia kwenye siku zao za mwezi inawezekana ni kubadilika kwa mzunguko ila kwa wale ambao washamaliza inawezekana ika ni kansa ya kizazi.

 

2.Angalizo kwa akina Mama ambao wameshamaliza taratibu za mzunguko wa damu na wakaona tena damu inatoka ni vizuri kuwahi mapema hospitali kwa uchunguzi zaidi ili kuangalia shida ni nini kwa sababu kuna akina Mama wengine wakiona mambo kama hayo wanaficha, sio vizuri kuficha ni lazima kuweka wazi ili kupata msaada zaidi.

 

3. Pia kuna uchafu wenye rangi ya njano ikiambatana na harufu mbaya.

Aina hii ya rangi ya njano na harufu mbaya utokana na kuwepo kwa Magonjwa ya zinaa kwa hiyo mtu akipata anapaswa kutibiwa Magonjwa haya.

 

4. Pengine kuna uchafu mweupe mzito kama jibini hii ni aina ya uchafu ambao hutokea kwa wanawake ambao una maana ya kuwepo kwa mashambulizi ya tangazo kwenye via vya uzazi.

 

5. Kuna na uchafu mwingine unakuwa mweupe  au wa kijivu wenye harufu ya samaki .

Pia uchafu wa aina hiyo unaonyesha juwa kuna Maambukizi ya kandaida kwenye via vya uzazi kwa hiyo ni lazima kupima na kutumia dawa.

 

6 . Kwa hiyo kama tulivyoona aina mbalimbali za uchafu na harufu zake tunapaswa kuziangalia kwa makini na kujua shida ni nini kama hujaelewa vizuri unaweza nkumwona mtaalamu yeyote wa afya ili kuweza kupata msaada zaidi kwa sababu Magonjwa yanayoshambulia sehemu za siri Usababisha madhara mengi ambayo ni kansa na ugumba.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4795


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Sababu za kutangulia kwa kitovu wakati Mtoto anazaliwa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kutangulia kwa kitovu wakati wa mtoto anapozaliwa. Soma Zaidi...

Sababu za kutoka mimba yenye miezi Saba na nane
Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto kuzaliwa akiwa na miezi Saba na nane kwa kawaida mtoto wa hivi anakuwa hajafikisha mda wake kwa hiyo uzaliwa akiwa na miezi saba na nane, kwa hiyo kuna sababu mbalimbali kama tutakavyoona Soma Zaidi...

mambo ambayo utaulizwa mama mjamzito ukifika kituo cha afya unatakiwa utoe majibu sahihi.
Posti hii inahusu zaidi mambo ambayo Mama mjamzito anaweza kuulizwa pindi anapokuja kwenye kliniki ya uzazi ,ni mambo muhimu na ya lazima yanayopaswa kuongea na Mama mjamzito ili kuweza kuona maendeleo yake kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

kunauwezekano wa darri ya kchefuchefu ictokee kabsa kwa mjauzito
Kichefuchefu ni moja katika dalili za mimba za mapema, Lucinda je upo uwezekano kwa mwanamke kuwa na ujauzito bila hata ya kuwa na kichefuchefu? Soma Zaidi...

Fahamu kuhusiana na kubalehe kwa msichana na mvulana.
Kubalehe ni wakati mwili wa mtoto unapoanza kubadilika na kuwa wa mtu mzima (balehe) hivi karibuni. Kubalehe ambao huanza kabla ya umri wa miaka 8 kwa wasichana na kabla ya umri wa miaka 9 kwa wavulana. Soma Zaidi...

Fahamu sifa za Ute wa siku za kupata mimba yaani ovulation day
Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai. Soma Zaidi...

Sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa, ni sababu ambazo utokea kwa akina Mama wengi kadri ya wataalamu wametafuta asilimia kuwa asilimia sabini ya wanawake mifuko yao ya kizazi kushindwa kisinyaa. Soma Zaidi...

Kiwango cha juu cha Androgen
Posti hii inahusu zaidi homoni ya androgen, ni homoni ambayo imo kwa wanaume na ikizidi kwa kiwango chake inaweza kuleta shida kwenye mwili wa binadamu kwa hiyo homoni hii inaweza kuleta shida iwapo ikiongezeka kwa kiasi kikubwa. Soma Zaidi...

Kwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Soma Zaidi...

Maumivu wakati wa tendo la ndoa na baada
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu wakati wa tendo la ndoa na baada Soma Zaidi...

Tatizo la muingiliano wa majimaji ya Amniotic au seli za Mtoto kwenye Damu ya mama mjamzito.
posti hii inaelezea kuhusiana tatizo la muingiliano wa majimaji ya seli za Mtoto kwenye Damu ya mama mjamzito ambao hujulikana Kama Amniotic Fluid Embolism ni hali adimu lakini mbaya ambayo hutokea wakati Maji ya amniotiki Majimaji ambayo huzunguka mtot Soma Zaidi...

Nimetoka kufanya tendo la ndoa ghafla tumbo likaanza kukaza upande wa kushoto na kutoka maji yenye uzito wa kawaida kama ute mengi je hii itakuwa ni nini
Maumivu yavtumbo huwenda yakachanganya sana, Keane yanahusianana sababu nyingi sana. Kina baadhi ya watu hupata na maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa ama punde tu baada ya kumaliza. Soma Zaidi...