Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Uchambuzi wa Hadith za Mtume (s.a.w).
aliyoyaridhia.
hadi kwa msimuliaji wa hadith hiyo.
Mfano wa Matin na Isnad ya Hadith;
Amesimulia Abdallah toka kwa Malik toka Abu Hurairah ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allah amesema, “Mlaji mwenye ………..ni sawa na …..” (Tirmidh).
Isnad, ni Wapokezi (wasimulizi) wa Hadith; Abdallah, Malik na Abu Hurairah.
Matin, ni Kauli ya Mtume (s.a.w); “Mlaji mwenye…..ni sawa na ….”.
Maneno yaliyo katika, “……….” ndio Matin ya Hadith.
Rawi (Rawahu): ni mkusanyaji, mwandishi, mpokezi wa Hadith.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَي...
Soma Zaidi...