Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo.
2.Tunapaswa kuangalia kama kiasi cha choo ni kidogo au kikubwa,pia tunapaswa kuangalia kama kiwango cha damu kwenye nchoo ni cha namna gani, pia tunapaswa kumwangalia mtoto kama ana homa au kuangalia kiasi cha Maumivu kwenye chini ya tumbo na kuangalia kama mtoto anakula.
3.Pia tunapaswa kuangalia kiasi cha maji mwilini kwa kuangalia Dalili kama vile mwili kubadilika, mapigo ya moyo kubwa kidogo kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kama Dalili za maji kuisha mwilini na kama zipo tunapaswa kutibu kiasi cha maji mwilini.
4.Kama kuna Maambukizi unapaswa kutibu maambukizi hayo kwa kutumia antibiotics zinazopaswa kutumika kwa kufanya hivyo tutaweza kutibu tatizo hili kwa hiyo dawa hizi tunapaswa kuzitumia kwa kufuata maagizo ya wataalamu wa afya.
5.Pia kama mtoto ameishiwa na maji mwilini tunapaswa kutibu tatizo hilo kwa kumpatia oral solution na kumpatia maji kwa kupitisha kwenye mishipa akiwa hospitali kwa hiyo hatupaswi kukuaa na mtoto anayeharisha damu nyumbani kwa sababu unaweza kukuta labda kuna Maambukizi kwenye utumbo kwa hiyo pindi tuonapo kinyesi chenye damu mpeleke Mgonjwa hospitalini mara moja kwa ajili ya huduma.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 6786
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh
👉2 Madrasa kiganjani
👉3 kitabu cha Simulizi
👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉5 Simulizi za Hadithi Audio
👉6 Kitabu cha Afya
NJIA YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA VIRUSI VYA VYA UKIMWI NA ATHARI ZAKE
Posti hii inahusisha maambukizi ya virusi vya ukimwi .pia tutangalia njia za kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI Soma Zaidi...
Tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nina minyoo
Mie ni kijana wa kiume umri 33, nna tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nna minyoo lakini hata nikinywa dawa sioni afadhali, niliona labda ni pombe nikapumzika kunywa tatizo lipo pale pale japo nisipokunywa haliwi kwa ukubwa ule ila lipo. Soma Zaidi...
Tiba ya vidonda vya tumbo na dawa zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Tina ya vidonda vya tumbo na dawa zake Soma Zaidi...
Ugonjwa wa UTI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI Soma Zaidi...
Maumivu, kizunguzungu, kichefuchefu na kutoka na damu ni dalili zamimba?
Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea. Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa Saratani.
Saratani inahusu ugonjwa wowote kati ya idadi kubwa ya magonjwa ambayo yanaonyeshwa na ukuaji wa seli zisizo za kawaida ambazo hugawanyika bila kudhibitiwa na kuwa na uwezo wa kupenya na kuharibu tishu za kawaida za mwili. Saratani mara nyingi ina uwezo Soma Zaidi...
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Soma Zaidi...
DALILI ZA SELIMUDU
Posti hii inazungumzia ishara na dalili za SELIMUDU ambao kitaalamu huitwa Sickle cell Anemia.selimudu ni aina ya kurithi ya Anemia — hali ambayo hakuna chembechembe nyekundu za damu zenye afya za kutosha kubeba oksijeni ya kutos Soma Zaidi...
Namna ya kuzuia virusi vya ukimwi
Posti hii inaelezea kuhusiana na kujikinga au kuzuia virusi vya ukimwi. Soma Zaidi...
Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika? Soma Zaidi...
Sababu za mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu.
Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine. Soma Zaidi...
Virusi vinavyopelekea Kuharisha Sana na Kutapika Sana(norovirus)
Maambukizi ya Norovirus yanaweza kusababisha kutapika sana na Kuhara. Virusi huambukiza sana na kwa kawaida huenea kupitia chakula au maji ambayo yamechafuliwa na kinyesi wakati wa kutayarisha. Unaweza pia kuambukizwa kwa kuwasiliana kwa karibu na mtu Soma Zaidi...