UCHUNGUZI WA NIMONIA KWA MTOTO NA TIBA


image


Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia


Uchunguzi wa Nimonia kwa mtoto na Tiba.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa Nimonia ni mojawapo ya ugonjwa unaowasumbua sana watoto wadogo chini ya miaka mitano, hasa ugonjwa huu ushambulia sehemu za upumuaji, pia uweza kumfanya mtoto kupumua vibaya au kukoroma kwa mtoto kwa hiyo tunaweza kumtambua mtoto kwa njia zifuatazo.

 

2. Kwanza kabisa tunapaswa kuangalia Dalili za habtari kwa mtoto ambazo ni pamoja na kushindwa kula au kunyonya na pia kutapika kila kitu, pia unapaswa kuangalia kama mtoto ana kihozi au anapumua kwa shida kwa kufanya hivyo unaweza kugundua kwamba mtoto ana Nimonia au la.

 

3. Pia unapaswa kuangalia kama mtoto anapumua kawaida? Au anatumia mda mrefu kufuta hewa? Au kuangalia kama mtoto ana homa au vipi? Pia inaangalia kama mtoto anaweza kula au kunyonya.

 

4.Kama mtoto anakoroma wakati wa kupumua anapaswa kupata huduma za haraka na pia ukiona na kupumua kwake ni kwa shida mpatie dawa zinazofaa kwa Nimonia dawa ambayo anapaswa kutumia ni amoxicillin na pia matumizi yake ni kwa maagizo ya daktari kufuatana na umri pamoja na uzito wa mtoto.

 

5.Kwa hiyo wazazi na walezi wanapaswa kutambua ugonjwa wa Nimonia na Dalili zake ili waweze kutibu na pia wanapaswa kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata tiba kadri ya hali ya ugonjwa



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Njia za kujilinda dhidi ya mapunye
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda dhidi ya mapunye Soma Zaidi...

image Dalili za minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke. Soma Zaidi...

image Vyakula kwa wagonjwa wa sukari na utaratibu wao wa lishe
Post hii inakwenda kukufundisha utaratibu wa lishe kwa wagonjwa wenye kisukari pamoja na vyakula salamakwao. Soma Zaidi...

image Ntajilinda vipi na magonjwa ya meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno Soma Zaidi...

image Dalili za kuaribika kwa mishipa ya retina.
Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu ambaye ana tatizo kwenye mishipa ya retina,ni tatizo ambalo uwakumba wafu wengi wenye matatizo ya kisukari. Soma Zaidi...

image Dalili za mtu aliyegongwa na nyoka
Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali Soma Zaidi...

image Fahamu Ugonjwa wa Saratani ya seli nyeupe.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ambayo hutokea katika aina ya seli nyeupe ya damu inayoitwa seli ya plasma. Seli za plasma hukusaidia kupambana na maambukizo kwa kutengeneza kingamwili zinazotambua na kushambulia vijidudu. Pia husababisha seli za Saratani kurundikana kwenye uboho, ambapo husongamanisha seli za damu zenye afya. Badala ya kuzalisha kingamwili muhimu, seli za Saratani huzalisha protini zisizo za kawaida zinazoweza kusababisha matatizo ya figo. Soma Zaidi...

image Vitu vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid (majimaji yanayomzungruka mtoto aliyekuwepo tumboni wakati wa ujauzito)
Post hii inahusu zaidi viti vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid, ni jumla ya vitu vyote vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid. Soma Zaidi...

image Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa Soma Zaidi...