Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisonono, ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu huitwa Neisseria gonococcal.
1.ugonjwa wa kisonono ni ugonjwa wa zinaa ambao usambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana na mtu aliye na Ugonjwa huo bila kutumia kinga, kwa hiyo mdudu huyu uishi kwenye via vya uzazi.
2. Ugonjwa huu uwapata wanawake na wanaume ila kwa kiasi kikubwa wanaume waliotahiriwa wanapata kwa asilimia kidogo ukilinganisha na wale waliotahiriwa, kwa hiyo ni vizuri kabisa kufanya tohara ili kuweza kupunguza Maambukizi.
3. Vile vile Ugonjwa huu unatibika kwa hiyo baada ya kuihisi Dalili ni vizuri kabisa kutafuta matibabu kwa hiyo kuna dawa muhimu kwa ajili ya kutibu Ugonjwa huu dawa Zenyewe ni kama vile zimegawanyika katika makundi mawili kundi la kwanza na kundi la pili.
4. Kundi la kwanza ni Norflaxacin yenye milligram mia tano inamezwa kwa mara moja, nyingine ni ciproflaxino yenye milligram mia tano inamezwa mara moja, nyingine ni oflaxacin yenye milligram mia nne na yenyewe inamezwa kwa mara moja, nyingine ni levofloxacine milligram mia mbili hamsini na yenyewe ni mara moja na nyingine ni certriaxone milligram Mia mbili na hamsini na nyingine ni enoxacine yenye milligram mia nne. Pia dawa za sehemu ya kwanza zisipotibu vizuri za sehemu ya pili zinaweza kutumika.
5. Dawa za sehemu ya pili au kwa kitaalamu huitwa second line utumika kama first line imegoma dawa hizo ni kama cefixime milligram mia nne, cefoxitin milligram mbili ambazo utumiwa kupitia kwenye mirija ya damu, nyingine ni cefotaxime ambayo upitishwa kwenye nyama au kwa kitaalamu ni intramuscular, nyingine ni arythromysine gram Moja.
6. Kwa hiyo dawa hizi utumika kutibu kisonono pia utumika kwa ushauri wa wataalamu wa afya usipende kuzitumia kiholela kwa sababu Kuna antibiotics zenye nguvu ukizitumia kiholela unaweza kujaribu bakteria ambao ni walinzi kwenye mwili. Pia ukija kutumia dawa hizi kwa kutibu kisonono ni lazima kwanza upime ugonjwa kama unao ndo unaanza kutumia, usitumie bila kupima
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Kubana kwa kifuwa ni katika hali ambazo si naweza kuhatarisha maisha. Huwenda kuwa ni miongoni mwa dalili za magonjwa mengi. Je unadhani na HIv na UKIMWI ni moja ya magonjwa hayo?
Soma Zaidi...Je, mtu mwenye dalili zifuatazo Kama, Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.
Soma Zaidi...Karibia fangasi wote hawa wanatibika bila ya ugumu wowote maka mgonjwa atakamilisha dozi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...FIKRA POTOFY KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo huja na maoni mengi potofu.
Soma Zaidi...Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili
Soma Zaidi...Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa vitiligo, chanzo chake, dalili zake na matibabu yaje
Soma Zaidi...