UGONJWA WA KUPOTEZA KUMBUKUMBU.


image


Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ambao kwa kitaalamu huitwa Dementia ugonjwa huu uwapata wale ambao umri umekwenda lakini kwa wakati mwingine Usababishwa na vitu mbalimbali kama tutakavyoona.


Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.

1. Kwaza kabisa tunapaswa kujua kuwa ili mtu aje kufikia hatua ya kupoteza kumbukumbu ni lazima seli za kwenye ubongo zinakuwa zimeharibika ndio ufanya ufanya mawasiliano yanakuwa na wasi wasi na kuanza kupoteza kumbukumbu.

 

2. Msongo wa mawazo nao usababisha kuharibika kwa seli za kwenye ubongo na kusababisha kupoteza kumbukumbu.

 

3. Unywaji wa pombe kupita kiasi.

Kwa wale ambao wanakunywa pombe kupita kiasi uharibu seli za kwenye ubongo na pia Usababisha kupoteza kumbukumbu kwa hiyo kwa wanywaji wa pombe wanapaswa kuacha ili kupunguza kuharibika kwa seli.

 

4.matumizi ya dawa bila kuwa na mpangilio.

Kuna wale ambao wanatumia dawa bila kuwa na mpangilio na au ushauri wa daktari kwa hiyo Usababisha kuharibika kwa seli na pia kusababisha kupoteza kumbukumbu.

 

5.upungufu wa vitamini mwilini.

Kutokana na kutokuwepo kwa vitamini ambavyo ni muhimu kwa ajili ya seli ambazo zipo kwenye ubongo usababisha kuaribika kwa seli na hatimaye kuwepo kwa kupotea kwa kumbukumbu.

 

6. Matatizo yatokanayo na tezi aina ya thyroid Usababisha kuaribika kwa seli kwenye ubongo na hatimaye kusababisha kupotea kwa kumbukumbu kwa walio wengi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Mbinu za kupunguza Kichefuchefu
Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Dengue
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dengue, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ila unasambazwa na mbu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine mbu anayasambaza Ugonjwa huu kwa kitaalamu huitwa Aedes mosquito . Soma Zaidi...

image Zifahamu sababu za kuziba kwa mrija wa kizazi.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuziba kwa mrija wa kizazi ambayo kwa kitaalamu huitwa follapian tube, ni sababu ambazo ufanya mirija ya follapian tube kuziba. Soma Zaidi...

image Dalili na ishara za anemia ya minyoo
Posti hii inshusiana na dalili za anemia ya minyoo Soma Zaidi...

image Walio kwenye hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa, Soma Zaidi...

image Umoja wa mataifa unazungumziaje afya
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo ya kiafya yanayozungumzwa na umoja wa mataifa Soma Zaidi...

image Walio kwenye hatari ya kupata UTI
Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Dawa ipi ya manjano kwa mtoto mwenye umri miaka miwili?
Ugonjwa wa manjano ni moja kati ya maradhibyanayosumbuwa ini. Ugonjwa huu unahitaji uangalizi wa haraka hospitali. Posti hii itakwenda kukujuza ninivufanyebendapobmtoto wako ana ugonjwa wa manjano. Soma Zaidi...

image Sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa Ili kuweza kuepuka madhara mengine yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kinywani. Soma Zaidi...

image Dalili za Mgonjwa wa kisukari
Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari. Soma Zaidi...