image

Ugonjwa wa Pumu, dalili zake na njia za kujilinda dhidi ya Pumu.

Pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu kitaalamu huitwa bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na michubuko sugu mwilini kwenye mirija yake ya kupitisha hewa. Hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija

Kuna makundi mawili ya pumu nayo ni:; 1.pumu ya ghafla (acute). Hii huwa ya Kawaida ambapo humfanya mgonjwa aweze kustahimili 2.pumu sugu; hii hufanya njia kuwa nyembamba zaidi kutokana na kuziba kwa kuta na Hali hii ikizidi nyia huwa nyembamba zaidi.

 

Sababu zinazopelekea kupata ugonjwa wa pumu;

-matatizo ya kinasaba

-maendeleo ya kiuchumi

-uvutaji wa sigara na tumbaku kipind mama akiwa mjamzito kupelekea mtoto kupata pumu.

-magonjwa ya mapafu Kama bronchitis

-vyanzo vya mzio  ( allergens) Kam  vile vumbi, vinyesi vya wanyama na baadhi ya vyakula.

-uchafuzi wa mazingira Kama Moshi na baadhi ya harufu Kali.

-baadhi ya kemikali kwenye maeneo ya kazi hasa kwenye viwanda Kama vya rangi chuma sementi na zege

-baadhi ya wagonjwa wanaotumia dawa za shinikizo la damu

 

  Visababishi  au  uwezekano wa kupata pumu;

-kuishi sehemu yenye baridi na vumbi

-msongo wa mawazo

-kuishiwa na pumzi na kupumua kwa shida

-historia ya pumu au historia ya kurithi

-Aina ya matatizo katika njia yake ya kula

 

     Dalili za pumu

-kuishiwa na pumzi na kupumua kwa shida

-kutoa sauti Kama mluzi wakati wa kupumua

-kifua kubana

-kushindwa kuongea endapo ugonjwa utakuwa sugu

-kukohoa Sana asa wakati wa asubuh na usiku

 

 Vipimo madactari huangalia vitu mbalimbali ili kujiridhisha Kama mgonjwa ana pumu navyo ni;

1.kipimo Cha Cha damu

2.kipimo cha kuchunguza uwezo wa mgonjwa kutoa hewa nje Mara baada ya kuvuta.

3.x-ray ya kifua.

 

 Mgonjwa wa pumu anashauriwa kuwa na dawa wakati wote ambayo itakuwa inamsaidia pale ambapo atakuwa anashindwa kutoa au kuvuta hewa.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1539


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Faida za minyoo
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za minyoo Soma Zaidi...

Madhara ya kunywa pombe kiafya
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kunywa pombe kiafya, ni madhara ambayo utokea kwa watu wanaokumywa pombe kwa kupita kiasi kwa hiyo wanapaswa kupunguza kunywa pombe baada ya kujua madhara yake. Soma Zaidi...

Faida za damu kwenye mwili
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa damu mwilini, Damu ni tisu pekee yenye majimaji ambayo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu. Soma Zaidi...

Namna ya kusaidia mwili kupambana na maradhi
Somo hili linakwenda kukuletea namna ambavyo mwili unapambana na maradhi Soma Zaidi...

Mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa walioingiliwa na uchafu puani.(foreign body).
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa alieye ingiwa na uchafu puani (foreign body) Soma Zaidi...

Namna ya kujikinga na kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia au kujikinga na kifua kikuu, hizi ni njia ambazo utumika ili kujikinga na kifua kikuu Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka Soma Zaidi...

Faida za seli
Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu. Soma Zaidi...

Jinsi macho yanavyoweza kuzungumza kuhusu afya yako ya kimwili na kiakili
Soma Zaidi...

Mambo yanayoweza kudhoofisha kinga ya mwili
Kinga ya mwili inapodhoofu mwili unakuwa hatarini kupata maradhi. Je unayajuwa mambo yanayodhoofisha kinga ysbmeili? Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa aliyeungua moto
Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just, Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa aliyeungua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa aliyeungua Soma Zaidi...