UJUE UGONJWA WA KUISHIWA NA DAMU


image


post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuishiwa damu kwa kitaalamu huitwa(Anemia) ni ugonjwa wa kuishiwa na damu mwilini na kusababisha maisha ya mtu kuwa hatarini


Sababu za kuishiwa na damu

1.Minyoo, kama mtu ana minyoo ambayo ufyonza damu kwenye mwili, hasa Ile minyoo ambayo uzunguka kwenye mzunguko wa damu

2.Maambukizi kwenye mwili( infection)

Hii utokea pale ambapo mgonjwa upata maambukizi  hii usababisha damu kupungua

3. Magonjwa ya mara kwa mara kama vile malaria,Neumoni na mengineyo

4. Homa kali, kama mgonjwa amepata Homa kali zaidi ya thelathini na nane hufanya damu kupungua

5. Magonjwa ya kuridhi

Kuna magonjwa kama vile sickle cell husababisha damu kupungua mwilini

6. Mifupa inayohusika na kutengeneza damu kushindwa kufanya kazi yake vizuri

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za Kiharusi Cha joto la mwili.
Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kufichuliwa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto la mwili wako litapanda hadi 104 F (40 C) au zaidi. Soma Zaidi...

image Vyanzo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo vya minyoo Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa Saratani.
Saratani inahusu ugonjwa wowote kati ya idadi kubwa ya magonjwa ambayo yanaonyeshwa na ukuaji wa seli zisizo za kawaida ambazo hugawanyika bila kudhibitiwa na kuwa na uwezo wa kupenya na kuharibu tishu za kawaida za mwili. Saratani mara nyingi ina uwezo wa kuenea katika mwili wako wote. Soma Zaidi...

image Upungufu wa vyakula na madhara yake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula Soma Zaidi...

image Njia za kujilinda na kujikinga na UTI
Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujilinda na kujikinga na UTI Soma Zaidi...

image huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu sikioni
Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu ambapo hutumika kusikia, Kuna wakati vitu uingia ndani yake na kuleta madhara Soma Zaidi...

image Huduma ya Kwanza kwa mwenye kizunguzungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu Soma Zaidi...

image Dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa Uvimbe kwenye ubongo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe au puto katika mshipa wa damu kwenye ubongo. Uvimbe kwenye Ubongo unaweza kuvuja au kupasuka, na kusababisha kuvuja damu kwenye ubongo. Mara nyingi, kupasuka kwa Uvimbe wa Ubongo hutokea katika nafasi kati ya ubongo na tishu nyembamba zinazofunika ubongo. Aina hii ya Kiharusi cha kuvuja damu huitwa Subarachnoid hemorrhage. Soma Zaidi...

image Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini Soma Zaidi...