Ujue Ute kwenye uke

Post hii inahusu zaidi Ute ambao umo kwenye uke, Ute huu utofautiana kulingana na hali ya mama aliyonayo, kama mama ana mimba uke utakuwa tofauti na yule ambaye hana mimba au kama Ute una una magonjwa na hivyo utakuwa tofauti.

Ute kwenye uke.

1. Kama tulivyoona hapo juu kwamba Ute utofautiana kulingana na hali ya mama au na kuwepo kwa magonjwa mwilini kwa Mama na pia kuna kipindi Ute uongezeka na kuna kipindi Ute upungua kabisa na pengine uke inakosa kabisaa mpaka madawa yanatumika kupata uke.

 

2. Kwa hiyo Ute kwenye uke huwa na kazi tofautitofauti kwa mfano kurahisisha uje wakati wa kujamiiana na kuruhusu mbegu kupita wakati wa kujamiiana kwa hiyo kwa akina mama ambao bado wanaendelea kupata watoto ni vizuri kabisa kuhakikisha kubwa wanakuwa na Ute wa kutosha kwenye uke kwa kutumia dawa mbalimbali za kuweza kupata Ute hasa pale ukipungua.

 

3. Ukosefu wa Ute kwenye uke usababisha maumivu makali wakati wa kujamiiana na pia michubuko wakati wa kujamiiana kwa sababu uume unapopita upita kwa shida na kusababisha kukwaruza sehemu za uke,

 

4. Pia ukosefu wa Ute usababisha kuwepo kwa magonjwa ya kuambukiza yanayotokea kwa njia ya kujamiiana kama vile upungufu wa kinga mwilini pamoja na magonjwa mengine kama hayo kwa sababu wakati wa kujamiiana kwa sababu ya kuwepo kwa michubuko virusi vinaweza kutoka kwa mwathirika kwenda kwa mwingine asiye mwathirika kwa hiyo Ute una faida zake.

 

5. Pia wanaume wanapaswa kuwaandaa wanawake wao kabla ya kujamiiana ili kuweza kuwepo kwa Ute maana maandalizi mazuri usababisha Ute kuwepo wa kutosha kwa hiyo ni vizuri kutafuta njia nzuri za kuandamana ili kuweza kuepuka matatizo ya kuwepo kwa magonjwa na michubuko wakati wa kujamiiana.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/05/Tuesday - 05:31:19 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2019

Post zifazofanana:-