Ukuaji wa mmea

Je wajua kwa nini mmea kama nyasi na miti hukua? Posti hii inahusu' zaidi ukuaji wa mimea katika mazingira yetu kwa sababu watu hawatambui kwamba mimea .ni chanzo cha mahitaji kwa binadamu.

Mahitaji muhimu katika hukuaji wa mimea kama nyasi , na miti.

         Kutokana na apo mwanzo tulivyoeleza kuhusu ukuaji wa mmea tunaona kwamba ukuaji mojawapo ya sifa za viumbe hai.kukua ni kitendo cha kuongezeka kimo ,uzani na umbo la seli .ukuaji katika viumbe hai hutokea kwa kiwango sawa katika kipindi chote cha uhai wake .viumbe hai ukua kwa kasi mwanzoni hadi wanapofika hatua ya kukomaa ,kisha ukuaji huanza kupungua na kukomaa kwa kipindi fulani na mwisho kiumbehai hufa .hivo hivo mmea huweza kukua vizuri pale inapopata mahitaji yake muhimu .pia mmea ina mahitaji yake miatano makuu ambayo ni muhimu kwa ukuaji wake mahitaji hayo ni :, 

 

Mwanga wa hewa,mwanga wa jua ni muhimu kwa ukuaji wa mmea.jua linatoa nishati ya joto na mwanga ambavyo ni muhimu kwa ukuaji wa mimea.mimea hutua nishati ya mwanga wa jua kujitengenezea chakula chake .majani ya mimea yana umbijani ambalo husharabu  nishati ya mwanga wa jua na uwezesha mimea kujitengenezea chakula chake.

 

Kitendo cha mmea kusanisi chakula chake.kwa kutumia nishati ya mwanga wa jua huitwa usanisinuru  .jasiri mwanga wa jua unavyongezeka ndivyo kiwango cha usanisi wa chakula kinayvongezekab.jua likiwa kali sana uharibu umbijani na kusababisha  kupungua kwa kiwango ha usanisi wa chakula .pia jua kali sana hisababisha kitendo cha usanisi nuru kutofanyika kabis .pia ata hivyo mmea ikikosa mwanga wa jua shina lake huwa jembamba kabisa .refu na majani yake uwa na rangi ya njano .ukosefu wa mwanga wa jua wa kutosha huathiri huwezo wa  mmea kutengeneza chakula chake na hivyo kuathiri ukuaji .jua kali husababisha majani kukauka na udongo kukosa unyevunyevu na hivyo mimea kukauka na kufa kabisaa.         

                          

Hewa. Kutokana tulivyosema mwanzo kwamba mmea huagabkuna vitu lazima uvipate mwanzo tumeona kuna mwanga wa jua sahivi tunaona hewa,tukija kwenye hewa mimea mingi hutumia gesi ya kabondayoksaidi katika usanis wa chakula au usanisi nuru .

 

Gesi hii uchukuliwa na mimea kupitia matundu ya stomata yaliyopo kwenye majani .stomata ufunguka na kufyonza gesi ya kabondayoksaidi inayotakiwa kukamilisha kitendo cha usanisinuru.pamoja na kuwa mimea hutumia gesi ya kabondayoksaidi wakati wa usanishaji wa chakula kiwango kiwango cha gesi hii huendelea kubaki cha kutosha angani hii usababishwa na upumuaji wa wanyama ambao huongeza gesi ya kabondayoksaidi kwenye mazingira ya wanadamu hivyo hewa inatusaidia si kupumua  pia wanyama ambao huongeza gesi ya kabondayoksaidi.gesi hii inazalishwa pia kwa kuoza kwa mabaki ya viumbe hai kuunguzwa kwa mafuta kwenye magari au kwenye mitambo na milipuko ya volkano.pia kuna ongezeko kubwaa la gesi ya kabondayoksaidi angani huathiri ukuaji katika mimea.

 

Katika hizi siku za hivi karibuni kiwango cha gesi ya kabondayoksaidi kimeongezeka kutoka lna na shughuli mbalbali za kibinadamu.hongezeko hili la gesi ya kabondayoksaidi upunguza kiwango cha kufunguka na kukifunga kwa stomata .ikiwa kiwango cha gesi hii ya kabondayoksaidi ni kubwaa katika hewa stomata hufunguka kwa muda mfupi sana na kupata kiwango cha kutosha cha gesi hii.kitendo hiki huathiri kiwango cha maji yatakayofyonzana mizizi kwa ajili ya kuiwezesha mimea kufanya kitendo cha usanisi nuru vilevile upungufu wa gesi ya kabondayoksaidi husababisha kupungua kwa uwezo wa mimea kujitengenezea chakula chake.pia mimea huitaji oksijeni kwa ajili ya ukuaji wake.oksijeni hutumika kupunguza chakula na kutengeneza nishati iliyozunguka  katika ukuaji wa mmea hiyo tumeona  ni hewa ambayo inatupatia si binadamu huai wa kuishi kwahiyo inatubidi sisi wanadamu tuweze kuyatawala vizuri mazingira yetu.kuna kitu kinginekingine. 

 

Maji.tunajuwa kwamba hapo hawali tulivyoongelea kuhusu ukuaji wa mimea apa tunakuja kuona maji kwamba ni kitu muhimu katika kila sekta ya mwanadamu pia na mimea ni mojawapo ya mahitaji muhimu kwa maisha ya viumbe hai.mikea huitaji majinili uweze kukua vizuri.vilevile maji ni mojawapo Katika mahitaji muhimu ya kusanisinuru pia maji hufyonzwa kutoka kwenye udongo adi kwenye mizizi .ncha za mizizi tina vinyweleo vidovidogo ambavyo ndivyo vinavyosharabu maji kwa njia ya osmosis maji yakishapita katika vinyweleo vya mizizi huingia kwenye mzizi mkuu,kisha huingia katika shina ambalo husafieishwa hadi kwenye majani.tishu inayosafirishwa majani katika mimea iko katikati ya shinala mimea tishu hio huitwa zailemu  hivyo hivo katika ukuaji wa mimea husaidia mizizi kufyonza maji kwenye virutubisho kutoka kwenye udongo au sehemu nyingine iliyopanlndwa mimea husafiri kupitia mashina mpaka kwenye majani .

 

Virutubisho hivyo hutumia na mimea na kufanya kuwa yenye afya ,pia inabeba kabohaidreti pamoja na virutubisho vingine na kuvisambaza kutoka kwenye majani na kwenda sehemu nyingine za mimea.pia kusababisha kiwango cha joto katika mimea.higanya mmea kuwa imara kabisa iwapo kama kuna maji ya kutosha ndani ya seli na mimea kujitengenezea chakula chake hivyo hivo maji yaanachukuliwa sehemu kubwaa ya seli.ya mmea.aina mbalimbali za mmea huzofautiana katika kiasi cha mahitaji ya maji.mfano ukuaji wa mmea ya mpunga huitaji maji mengi sana mimea inahitaji kupata maji mengi sana ili kuiwezesha kukua na kutoa mazao bora na yenye afya tele ukuaji wa mmea huathiriwa na kiwango cha maji .

 

Udongo ukiwa na maji mengi .mizizi inaweza kuoza kwa kukosa gesi ya oksijeni ya kutosha kwenye udongo,hali hii huathiri ukuaji wa mimea na uweza kusababisha mimea kufa kabisa.mimea ikikosa maji ya kutosha ,virutubisho vinavyoitajika haviwezi kufyonzwa kutoka kwenye udongo na kusafirishwa kwenda sehemu mbalimbali za mmea ,vilevile ukosefu wa maji ya kutosha huathiri tendo la usanifu .hii husababisha mimea kuwa dhaifu na hatimaye kunyauka na kufa.

 

 virutubisho.kama nilivyoeleza pale awali kwamba mmea mahitaji yake hayako mbalibsana na mahitaji ya mwanadamu tukiangalia virutubisho ni sawa na chakula pia mmea lazima upate virutubisho mbalimbali ili uweze kuwa na afya bora pia kwa binadamu tunakula chakula ili tushibe tuwe na afya ni sawa na mmea nap pia huitaji virutubisho vya haina mbalimbali katika kipindi cha ukuaji wake virutubisho vyake uchukuliwa kwenye mizizi adi kwenye shina nabkusambaza sehemu zake zote pia mmea ina vinyweleo vidovidogo ambavyo na vyenwewe vinatumika kama kupitishia chakula chake pia hufyonzwa kwenye ncha za mizizi.pia virutubisho vikishaingia kwenye mzizi mkuu kishabuingia katika shina virutubisho hivyo usafirishwa adi kwenye majani kupitia tishu inayoitwa zailemu virutubisho vingi vya mmea upatikana katika udongo nisawa na virutubisho vya mwanadamu ikumbukwe pia kuna bahadhi ya mmea inaota kwenye maji bila kuwepo kwa udongo.viruzubisho kama oksijeni ,kaboni,na haidrojeni,upatikana kutoka kwenye hewa .

 

 Virutubisho vimwgawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni virutubisho vikuu na visivyo vikuu.virutubisho vikuu vinahitajika kwa kasi kubwa sana na muhimu sana kwa ukuwaji virutubisho hivo ni vitatu mavyo ni naitrojeni.gosforasi,na potasiamu kwa kawaida upatikanaji wa virutubisho hivo  ni china na shaba oksijeni na haidrojeni .

 

Joto  mimea huitaji joto sahii ili uweze kukua sahii ,jotoridi sahii ni muhimu wakati wa utoaji wa mbegu,usanisi wa chakula na wkati wa upumuaji .jotoridi likiwa kubwa kupita kiasi mimea hukauka .pia jotoridi dogo sana hufanya mimea kushindwa kusanisi chakula chake na hivyo hufa.vilevile mbegu zisipoifadhiwa kusanisi chakula chake na hivyo hufa ...ndo tumejifunza na tumeona jinsiya kumtwngenezea mazingira mmea maana sisi ndo tuaitawala mimea .kuna bahadhi ya maneno nimeweza kuyatumia .

 osmosisi.ni kitendo cha kusafirishwa wa maji kwenye myeyuko hafifu kwenda kwenye myeyuko mzito kupitia kiwambo.

 

 

 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/08/05/Friday - 11:10:09 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1721

Post zifazofanana:-

Sababu za kushuka surat al adiyat
Sura hii iliposhuka ilikuwa kama imekuja kuwasuta Wanafiki waliokuwa wakizungumzahabari za uongo kuhusu jeshi alilolituma Mtume wa Allah. Soma Zaidi...

PHP level 1 somo la sita (6)
Katika somo hili la php level 1 somo la 6 utajifunza namna ya kutumia tarehe yaani function date() kwenye PHP Soma Zaidi...

Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

Zijue kazi za uke (vagina)
Uke ni sehemu ambayo imo ndani ya mwili wa mwanamke, sehemu hii ufanya kazi mbalimbali hasa wakati wa kujamiiana, kubarehe na kujifungua kwa mama. Soma Zaidi...

Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme, tunajua kuwa mama yake na binti alimtorisha yule binti mbali kabisa ila kijana naye aliamua kutoroka na kumfuata binti mfalme na hatimaye akampata alipo. Soma Zaidi...

Dalili za kifafa cha mimba.
Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Sababu za Uvimbe wa tishu za Matiti kwa wavulana au wanaume
posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe wa tishu za matiti kwa wavulana au wanaume, unaosababishwa na kutofautiana kwa homoni za estrojeni na testosterone. Pia unaweza kuathiri matiti moja au zote mbili, wakati mwingine bila usawa. Watoto wachanga, Soma Zaidi...

Magonjwa ya moyo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi sababu za uti wa mgongo, ni ugonjwa unaotokana na kuwa na maumivu kwenye uti wa mgongo, hasa hasa ugonjwa huu ushambulia watu kuanzia miaka ishilini mpaka kwenye arobaini hivi, zifuatazo ni sababu za maumivu katika uti wa mgongo. Soma Zaidi...

Ishara na dalili za saratani ya mdomo.
Posti hii inaonyesha dalili na mabo ya hatari kwenye ugonjwa wa saratani ya mdomon.Saratani ya mdomo inarejelea Kansa inayotokea katika sehemu zozote zinazounda mdomo. Saratani ya mdomo inaweza kutokea kwa: Midomo, Fizi, Lugha, Nd Soma Zaidi...

Dalili za presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka Soma Zaidi...

Dalili za Ugonjwa wa kula kupindukia
Ugonjwa wa kula kupindukia ni ugonjwa mbaya wa ulaji ambapo mara kwa mara unatumia kiasi kikubwa cha chakula na kuhisi huwezi kuacha kula. Soma Zaidi...