UMUHIMU NA NAFASI ZA HIJJAH KATIKA UISLAMU


image


Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


  • Umuhimu na Nafasi ya Hijjah katika Uislamu.
    1. Hijjah ni nguzo ya tano katika Uislamu iliyofaradhishwa kwa waumini.

    Rejea Qur’an (3:97).

 

  1. Hijjah na Umrah ni ibada za hali ya juu na zenye malipo makubwa mbele ya Mwenyezi Mungu (s.w).

 

  1. Kuacha ibada ya Hijjah kwa mwenye uwezo kwa kukusudia anastahiki adhabu mbele ya Mwenyezi Mungu (s.w).

Rejea Qur’an (3:97).

 

  1. Kuhiji ni amri ya Mwenyezi Mungu (s.w) kwa waumini wenye uwezo wa kimali na afya.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Sunnah za funga ya ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Dhana ya haki na uadilifu katika uislamu
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Hadithi ya pili: sifa za muumini wa kweli
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maswali juu ya nguzo za Imani
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Jinsi uislamu ulivyokomesha biashara ya utumwa wakati na baada ya mtume Muhammad (s.a.w)
Soma Zaidi...

image Mafunzo yatokanayo na hijrah ya mtume na maswahaba wake
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maana ya shahada
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Haki za nafsi
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Aina za hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mbinu na njia walizotumia maadui wa uislamu dhidi ya waislamu na dola ya kiislamu madinah
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...