Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kunyonyesha kwa akina Mama, kunyonyesha ni kitendo ambacho Mama utumia maziwa yake na kumlisha mtoto pindi tu anapozaliwa mpaka wakati anapoachishwa titi, kunyonyesha huwa na faida kubwa kwa wote yaani Mama na mtoto, zif
1. Kunyonyesha kwa akina Mama usaidia kuzuia Kansa ya kizazi na Kansa ya matiti, kwa sababu kwenye matiti Kuna chemical nyingi ambazo usaidia kutengeneza maziwa kwa hiyo zikibaki bila kutumiwa na mtoto usababisha Kansa ya matiti kwa hiyo akina Mama ambao Hawanyonyeshi na hawana tatizo lolote wanapaswa kufanya hivyo pindi wanapojifungua Ili kuweza kuepukana na Kansa ya matiti ambayo inawakumba wazazi wengi kwa asilimia kubwa ni kwa sababu ya kushindwa kunyonyesha.
2. Pindi Mama anaponyonyesha mtoto wake anaweza kukaa kwa miezi sita ya mwanzoni bila kubeba mimba, kwa kawaida wale akina Mama wanaotumia mda mwingi kiwanyonyesha watoto wao Wana asilimia kubwa ya kutopata hedhi kwenye miezi yao ya mwanzoni na pia kutotumia aina yoyote ya uzazi wa mpango na hawabebi mimba kwa hiyo akina Mama wanapaswa kunyonyesha watoto wao sio chini ya mara nane kwa masaa Kumi na mawili.
3. Kunyonyesha usaidia kuwepo kwa uhusiano mzuri kati ya Mama na mtoto, kwa sababu wakati wa kunyonyesha ndipo Mtoto anaweza kumtambua Mama yake na kuwa na uhusiano mzuri, pia Mama anaweza kujua tabia ndogo ndogo za mtoto wake pindi anaponyonyesha. Kwa hiyo akina Mama wanapaswa kujitahidi kiwanyonyesha watoto wao kwa mda unapaswa.
4. Kunyonyesha tu baada ya kujifungua usaidia kuwepo kwa homoni ya oxytocin ambayo usaidia kuzuia kuvuja kwa damu, kwa hiyo Mama anapaswa kunyonyesha mtoto tu baada ya kujifungua na isizidi saa Moja kabla Mama hajapewa mtoto wake ili kunyonyesha mara tu anapozaliwa.
4. Pia kunyonyesha usaidia kuwepo kwa homoni ya oxytocin kutoka kwenye ubongo ambayo usaidia uterus ku contract tu baada ya Mama kujifungua.
5.Vile vile kunyonyesha usaidia maziwa ya Mama kuzalisha homoni ya lactation ambayo usaidia kuzalisha kwa maziwa.
6.kwa hiyo baada ya kujua faida za kunyonyesha akina Mama wanapaswa kukaa na watoto wao kwa mda wa kutosha pindi wanapojifungua Ili kuweza kuzingatia uhusiano mzuri kati ya Mama na mtoto, pia kupunguza kuwepo kwa kufuata kwa watoto bila mpangilio hali ambayo usababisha watoto kutokua vizuri kwa sababu ya kukosa lishe.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1837
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Madrasa kiganjani
👉4 Simulizi za Hadithi Audio
👉5 kitabu cha Simulizi
👉6 Kitabu cha Afya
Sababu za ugumba kwa wanawake
Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa wanawake, ni sababu ambazo upelekea wanawake wengi kuwa wagumba ukizingatia kuwa wanazaliwa wakiwa na uwezo kabisa wa kupata watoto lakini kwa sababu mbalimbali za kimazingira wanakoswa watoto, zifuatazo ni saba Soma Zaidi...
Jifunze kuhusu Protini, Fati, Wanga na kazi zao mwilini na vyakula vinavyopatikaniwa kwa wingi
Soma Zaidi...
Jinsi ya kupata mtoto wa kiume
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume. Soma Zaidi...
Madhara ya kutumia madawa ya shida ya upumuaji
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya shida ya upumuaji, ni madhara madogo madogo ambayo utokea kwa watumiaji wa matatizo ya kupumua. Soma Zaidi...
Yajue mazoezi ya kegel
Posti inahusu zaidi mazoezi ya kegel, ni mazoezi ambayo ufanywa na watu wengi na sehemu yoyote yanaweza kufanywa kama vile chumbani, sebuleni, uwanjani na sehemu yoyote ile na kwa watu tofauti. Soma Zaidi...
Njia za kumsafisha Mama aliyetoa mimba.
Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni. Soma Zaidi...
Zijue mbegu za kiume zilizo bora.
Posti hii inahusu zaidi mbegu ambazo ni nzima na ambazo zina sifa ya kutungisha mimba kwa hiyo mbegu hizi utazigundua kwa kuwa na sifa zifuatazo. Soma Zaidi...
Kwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Soma Zaidi...
Sababu za Ugonjwa wa kifafa cha mimba.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kifafa cha mimba, kwa kawaida mpaka sasa hakuna taarifa zozote kuhusu sababu za kuwepo kwa kifafa cha mimba ila kuna visababishi vinavyofikiliwa kama ni Dalili za kifafa cha mimba kama ifuatavyo Soma Zaidi...
Tatizo la kutokwa na utelezi wenye damu baada ya hedhi
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali za kutokwa na damu baada ya hedhi hili ni tatizo ambalo uwapata wanawake wengi pamoja na akina Mama kwa sababu ya kutokwa na damu yenye utelezi baada ya hedhi. Soma Zaidi...
Faida za uzazi wa mpango kwa watoto.
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa uzazi wa mpango kwa watoto, sio akina Mama peke yao wanaofaidika na uzazi wa mpango vile vile na watoto wanafaidika na uzazi wa mpango kama ifuatavyo. Soma Zaidi...
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa kondo la nyuma
Kondo la nyuma ni sehemu ya mwili wa mama anapokuwa mjamziti,kondo la nyuma husaidia katika kazi mbalimbali katika ukuaji wa mtoto. Soma Zaidi...