Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kupiga push up kiafya, ni mambo au faida zipatikanazo ki afya kwa wapigaji wa push up kama ifuatavyo.
Umuhimu wa kupiga push up kiafya.
1 uboreshaji wa mkao na mwonekano wako.
Kwa sababu kila sehemu ya mwili uwa kwenye mpangilio wake ndio maana ukifuatilia wapigaji wa push up wako vizuri ki mipangilio kwa sehemu zote za mwili.
2. Uimarisha misuli.
Kwa kawaida wapigaji wengi wa push up wanakuwa wameimarika kwa misuli yao kwa sababu ya kupiga push up kila siku kwa hiyo hata kama akiumia uchukua mda mfupi kupona kwa sababu ya misuli yake kuwa imara.
3. Uimarisha pia mifupa .
Kwa sababu ya kupiga push up kila siku mifupa uimarika kabisa na kuwa imara.
4. Uongezeka kifua
Misuli ikiboreshwa umbo la kifua nalo uongezeka kwa hiyo ulifatilia sana wapiga push up huwa na vifua vikubwa.
5. Usaidia kupunguza uzito.
Kwa kupiga push up uzito unaweza kupungua kwa sababu mafuta na nyama zote uyeyuka kwa sababu ya kuwepo kwa upigaji wa push up kila siku.
6. Uondoa maumivu ya mgongo.
Kwa sababu ya kuwepo kwa push up misuli ambayo imo mgongoni nayo inawezekana kunyooka na kusababisha maumivu ya mgongo kupungua.
7. Uweka viungo vya mwili kwenye usawa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa push up kila mara viungo vyote unyooka na kuwa kwenye hali yake ya kawaida.
8. Push up uweka tumbo kwenye mpangilio mzuri yaani kwenye six - parks na mwonekano wa tumbo huwa kawaida
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kuzinuwa faida za kufunga kitaalamu. Hapa hatutaangalia mtazamo wa dini yeyote
Soma Zaidi...Hiki ni kitabu kilichosheheni masomo zaidi kuhusu Afya yako, vyakula pamoja na maradhi sugu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi nguo za kuvaliwa kwenye chumba cha upasuaji na kazi zake, hizi ni nguo ambazo wahudumu wa afya wanapaswa kuzivaa wakati wa upasuaji kwa ajili ya kuwakinga na Maambukizi kati ya wahudumu wa afya na wagonjwa pia
Soma Zaidi...Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya yake.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...