UMUHIMU WA MAJI YALIYOMO KWENYE MFUKO WA MTOTO AKIWA TUMBONI MWA MAMA


image


Post hii inahusu zaidi umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni. Ni maji ambayo kwa kitaalamu huitwa (Amniotic fluid)


Umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni mwa mama.

1. Usaidia kuzuia uharibifu wowote ambao unaweza kujitokeza iwapo mtoto akiwa tumboni mwa mama

2.huifathi joto na kuhakikisha Kuna joto la kufaa na linalohitajika kwa ajili ya mtoto

3. Hayo maji utumiwa na mtoto kwa ajili ya kunywa anapokuwa tumboni, kwa hiyo hayana uchafu wowote

4.husaidia kufunguka njia pale mwanamke anapokuwa anajifungua

5.husaidia mtoto kuogelea na kuzunguka sehemu ambalimbali anapokuwa tumboni

6. Husaidia kulegeza  misuli ya Mama pale anapojifungua



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za ugonjwa wa macho.
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Sababu zinazopelekea maumivu ya Matiti.
 Maumivu ya matiti hutokea zaidi kwa watu ambao hawajamaliza hedhi, ingawa yanaweza kutokea baada ya kukoma hedhi.  Soma Zaidi...

image Utajuwaje kama kidonda kupona
Posti hii inahusu zaidi juu ya kuhakiki kama kidonda kimepona kwa mgonjwa mwenye vidonda, kwanza kabisa tunajua kuwa vidonda uwanyima Watu raha na pengine kuwafanya wakate tamaa kama wapo hospitalini kwa hiyo tunapaswa kutumia njia zifuatazo ili kuweza kuhakikisha kama kidonda kimepona au la. Soma Zaidi...

image Dalili za minyoo na sababu zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo na sababu zake Soma Zaidi...

image Dalili za tezi dume ambayo hazijashuka (cryptorchidism)
Tezi dume ambayo haijashuka si ya kawaida kwa ujumla, lakini ni ya kawaida kwa wavulana waliozaliwa kabla ya wakati.na muda mwingine zikipanda tumboni huwa hazishuki kabisa kwenye korodani. Soma Zaidi...

image Visababishi vya magonjwa.
Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri. Soma Zaidi...

image Vitamini na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi vitamini mbalimbali na kazi zake kwenye mwili,vitamini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Dalili za Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi dalili za Maambukizi kwenye mifupa, ni dalili ambazo ukionyesha kwa mtu mwenye Maambukizi kwenye mifupa. Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa Saratani.
Saratani inahusu ugonjwa wowote kati ya idadi kubwa ya magonjwa ambayo yanaonyeshwa na ukuaji wa seli zisizo za kawaida ambazo hugawanyika bila kudhibitiwa na kuwa na uwezo wa kupenya na kuharibu tishu za kawaida za mwili. Saratani mara nyingi ina uwezo wa kuenea katika mwili wako wote. Soma Zaidi...

image Hatua za kinga za ugumba na Utasa.
Ugumba ni “ugonjwa wa mfumo wa uzazi unaofafanuliwa kwa kushindwa kupata ujauzito baada ya miezi 12 au zaidi ya kujamiiana bila kinga mara kwa mara. Utasa  kutoweza kwa kiumbe hai kufanya uzazi wa ngono au kutoweza kupata mimba au kuchangia mimba. Soma Zaidi...