Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Kazi muhimu za uterusi
1. Usaidia kuupokea mbegu wakati wa kujamiiana
2. Uweka mazingira mazuri kwa ajili ya kumtunza mtoto akiwa tumboni,kumpatia chakula na mahitaji yote mpaka mtoto anazaliwa
3. Usaidia kumlinda mtoto akiwa tumboni mwa mama kuanzia kutungwa mimba mpaka kuzaliwa
4. Usaidia kutoa uchafu pale ambapo mimba haikutungwa, uchafu utolewa kila mwezi
5. Usaidia na uruhusu mtoto kutoka tumboni pale anapafikisha miezi Tisa, kwa hiyo uterus ulegea na mtoto uzaliwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda dhidi ya mapunye
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Nyoka wapo katka makundi makuu mawili, kuna wenye sumu na wasio na sumu.
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu,ni Dalili ambazo Uweza kujionyesha kwa mtu ambaye ameshawahi kupatwa na tatizo la kizungu Zungu au hajawahi kupata dalili zenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari, ni njia ambazo usaidia kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari
Soma Zaidi...