Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Umuhimu wa uzazi wa mpango
1. Kupata idadi ya watoto unaohitaji
2. Kuepuka mimba zisizotarajiwa
3. Kuepusha vifo vya mama na mtoto
4. Kuongeza upendo kwa watoto
5. Kumsaidia mama kupata mda wa kushiriki kwenye kazi za jamii
Njia za mbalimbali za uzazi wa mpango
1. Kutumia vidonge
2. Kutumia sindano
3. Kutumia kondomu
4. Kukata milija ya uzazi
5. Kuangalia Ute
6. Kutumia kalenda.
Nani anapaswa kutumia njia hizi
1. Wanawake wote wanapenda
2. Wasichana wanaoendelea na masomo
3. Na wote wenye elimu juu ya njia hizi
Nani hapaswa kutumia njia hizi
1 wanawake wenye mimba
2. Wanye alegi juu ya njia hizi
3. Wale wasio na elimu juu ya njia hizi
4,. Wenye maginjwa ya Kansa
Kwa ujumla njia za uzazi wa mpango ni nzuri maana husaidia kupunguza vifo vya mama na wato,.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Mtoto huweza kuzaliwa ndani ya miezi 6 na unaweza kupona. Na huyu mdoe mtoto njiti. Na anaweza kuzliwa kwa njia ya kawaida. Hakuna ushahidi unaiinyesha kuwa njiti hukabiliwanamatatizo ya kitalima kwenye ukubwa wako.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia iwapo mimba imetoka mambo haya yanaweza yakawahusu akina Mama wenyewe, familia na jamii kwa ujumla.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai.
Soma Zaidi...Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa fetusi mbili zitakua kutoka kwa kiinitete hiki, zitabaki zimeunganishwa mar
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.
Soma Zaidi...Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
Soma Zaidi...Je ungependa kuijuwa Njia ya kuzuia mimba wakati wa tendo la ndoa?. Posti hii itakwenda kukufundisha ujanja huu.
Soma Zaidi...