Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya undetectable viral load
UNDETECTABLE VIRAL LOAD ni nini?
Kabla ya kujuwa maana nzima ya hii sentensi kwanza utambuwe maana ya viral load. Viral load ni idadi ya virusi vilivyomo kwenye damu katika kipimo. Sasa undetectavble viral load maana yake mtu ni muathirika ila virusi vyake idadi yake haionekani kwenye kipimo. Hapa anaweza kuwa pengine ana kirusi kimoja ama viwili ama hana kabisa. Itambulike kuwa hata kama virusi havionekani kwenye kipimo bado mtu atakuwa ni muathirika na kipimo cha ukimwi kitaendelea kumuonyesha ni muathiriki.a.
Muathirika aliyefikia hatuwa hii ataishi vyema kama watu wengine bila ya kuonyesha dalili yeyote ile. Pia kama ataendelea kudumu na hali hii kwa muda wa miezi kama 6 hatoweza kumuambukiza mtu kwa namna yeyote ile. Ma muathirika endapo atatumia vyema dawa za ARV anaweza kufikia kiwango hiki ndani ya mieze 6, ila kama atakuwa amechelea kuanza matibabu inaweza kuchukuwa muda zaidi ya hapo, na ndio maana watu wanashauriwa kupima ili kugunduwa maambukizi mapema iwezekanavyo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii Ina onyesha DALILI za Homa ya matumbo (typhoid fever) huenea kupitia chakula na maji machafu au kwa kuwasiliana kwa karibu na mtu aliyeambukizwa. Dalili na ishara kwa kawaida hujumuisha Homa kali, maumivu ya kichwa, maumi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia sehemu yenye maumivu, hili kugundua mahali mtu anaumia ushirikiano mkubwa unahitajika kati ya mgonjwa na mhudumu.
Soma Zaidi...Virusi vya korona ni katika aina za virusi ambavyo asili yake ni kutoka kwa wanyama na kuja kwa binadamu.
Soma Zaidi...Ukistaajabu ya Musa utastaajabu ya Firauni. Haya ni maneno ya wahenga. Sasa hebu njoo u staajabu ya damu
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye liski ya kupata magonjwa ya ngono, ni watu wanaofanya mambo yanayosababisha kupata magonjwa ya ngono.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na mifuko midogo midogo, iliyobubujika ambayo inaweza kuunda kwenye utando wa mfumo wako wa usagaji chakula. Wao hupatikana mara nyingi katika sehemu ya chini ya utumbo mkubwa (koloni). Hali hiyo inajulikana kama Divert
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ngozi kuwa kavu si mbaya, lakini inaweza kusumbua na isipendeze, ikitengeneza mistari laini na Mikunjo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...