UPUNGUFU WA HOMONI YA CORTISOL


image


Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni hii ya cortisol,hii ni homoni ambayo utokana na tezi glang(adrenal gland) kufanya kazi kupitiliza hali ambayo mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu, yaani wale watu ambao mda mwingi huwa wenye mawazo na pia Kuna dalili kama zifuatazo.


Dalili za upungufu wa homoni ya cortsol.

1. Uchovu wa mara kwa mara 

Kwa kawaida watu wenye matatizo haya uhisi uchovu wa mara kwa mara na usioisha na pengine hata kama hakuna kazi yoyote iliyofanyika uchovu unakuwa unahisi uchovu wa mara kwa mara.

 

2. Uzito wa kufikiria na kufanya maamuzi.

Kwa kawaida Mtu mwenye tatizo hilo huwa na tatizo la kufikiria hasa mtu akiulizwa kitu kwa ghafla.

 

3. Ngozi kuwa nyepesi na kavu.

Kwa kawaida watu wenye matatizo ya hali hii kwa kawaida ngozi yao huwa nyepesi na kavu kuliko kawaida na ngozi zilizo na kiwango cha kutosha cha homoni ya cortisol.

 

4. Kuwepo kwa madonda usoni.

Kwa kawaida Kawaida watu wenye tatizo hili huwa na madoa usoni  , hali hii utokea kwa sababu ya kukosa kiwango cha kutosha cha cortsol.

 

5. Kiwango cha sukari kushuka.

Kwa kawaida wasitani wa sukari usio imara yaat kupanda na kushuka kwa sukari ya mara Kwa mara.

 

6. Kushindwa au kutovumia kufanya mazoezi.

Kwa kawaida watu wa namnt hii ushindwa kufanya mazoezi kwa sababu pengine ni kwa sababu ya kuhisi uzito kwa sababu ya kuwa na hali ya kutojisikia vibaya.

 

7. Kama hali ikiendelea mtu anaweza kuwa na mvurugiko wa homoni ambazo kwa kitaalamu hormonal imbalance ni vyema kabisa kupata ushauri kwa wataalamu wa afya.

 

8. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuachay na dawa za kienyeji baada ya kuona dalili kama hizi kwa sababu mgonjwa hasipopota matibabu ipasavyo anaweza kupata matatizo makubwa kwa hiyo kama nilivyotangulia kusema kuwa ushai katika matibabu ni lazima Ili kuweza kupata matibabu sahihi

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Njia za kuzuia ugonjwa wa kisonono
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo utumiwa Ili kuweza kuzuia kuwepo ugonjwa wa kisonono, kwa kufuata njia hizi ugonjwa huu wa kisonono unaweza kupungua kwa kiasi au kuisha kabisa. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa uti wa mgongo, ni ugonjwa unaoshambulia sehemu inayofunika ubongo na pia sehemu ya spinal cord Soma Zaidi...

image Vidonda vya tumbo chanzo chake na dalili zake
Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula. Soma Zaidi...

image Kawaida Mtu anatakiwa na kiwango gani Cha presha
Nimeambiwa presha yangu umeshuka iko 90/60 na Nina umri wa miaka 26 KawaidaMtu anatakiwa na kiwango gani Cha presha Soma Zaidi...

image Dalili za moyo kutanuka
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza na kuonyesha kwamba moyo umetanuka. Soma Zaidi...

image Je unazijuwa dalili za Ukimwi na HIV?
Huwenda ukawa ni moja kati ya watu wanaotaka kujuwa juu ya dalili za ukimwi. Kama wewe ni katika watu hawa tambuwa kuwa kuna dalili za VVU (hiv) na dalili za ukimwi. Makala hii itakwenda kukuletea dalili kuu za mwanzo za VVU na HIV kuanzia wiki tatu za mwanzo hadi kufikia miezi mitatu. Mwisho wa makala hii utaweza kujifunza mambo yafuatayo:- Soma Zaidi...

image Sababu za mwanamke kuumwa tumbo y chini ya kitovu.
Posti hii inahusu sababu za mwanamke kuumwa tumbo chini ya kitovu, ni tatizo ambalo limewapata wanawake wengi na pengine sababu ni vigumu kupata au pengine zinapatikana lakini kwa kuchelewa hali ambayo usababisha madhara mbalimbali kwenye mwili. Soma Zaidi...

image Matibabu kwa mtu mwenye kiungulia
Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa vericose veini
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini Soma Zaidi...

image Mbinu za kuzuia na kuepukana na maradhi ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi njia au mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepukana na tatizo la ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo. Soma Zaidi...