Upungufu wa homoni ya estrogen
Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni ya estrogen na dalili zake, aina hii ya homoni ikipungua mwilini uleta madhara na matatizo mbalimbali kwenye mwili.
Upungufu wa homoni ya estrogen na dalili zake.
1.aina hii ya mvurugiko wa homoni upo kwa wingi kwa wanawake wale waliofikia ukomo wa kujifungua hasa hasa kuanzia miaka thelathini na tano na kuendelea na hasa hasa wale waliofikia ukomo wa hedhi ambapo kwa kitaalamu huitwa menopause, kwa upande wa kimo wanawake wembamba uathiriwa zaidi kuliko wanawake wanene, zifuatazo ni dalili za mvurugiko wa homoni ya estrogen.
2. Kuwepo kwa ukavu ukeni.
Hii ni dalili Mojawapo inayowapata sana akina Mama wenye mvurugiko au upungufu wa homoni ya estrogen, kwenye uke kunakuwepo ukavu na hali hii usababisha maumivu au kutopelekea kufurahia kwa tendo la ndoa na sababu ya kukosa Ute Ute usababisha mikwaruzo kwenye uke.
3. Maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
Kwa kawaida Ili mwanaume aweze kushiriki na kufurahia tendo la ndoa ni lazima maandalizi yawepo Ili kuweza kuwepo kwa Ute ambao usababisha uboo kupita kwa hiyo kama Ute haupo lazima mama atapata maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
4. Kuwepo kwa homa za vipindi vipindi.
Kwa sababu ya kuwepo kwa upungufu au mvurugiko wa homoni ya estrogen na mwili nao pia uvurugika ambapo homa za vipindi utokea mara kwa mara hali ambayo usababisha mwili kutokuwa kwenye hali yake ya kawaida.
5. Kuvuja jasho wakati wa usiku.
Kwa sababu ya kuwepo kwa homa za vipindi usababisha Mama kuwa na jasho wakati wa usiku, hata kama Kuna baridi kiasi gani yeye mhusika uhisi joto wakati wa usiku.
6. Matatizo ya kupoteza kumbukumbu uweza kutokea.
Kwa sababu ya maumivu au mwli kupungukiwa kwa homoni muhimu ya estrogen uendana na tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa hiyo utawakuta akina Mama wengi wenye umri wa kuingia menopause Wana shida ya kusahau sana hii ni kwa sababu ya kupoteza homoni ya estrogen.
7. Kujisikia mvivu na mzito hasa wakati wa kufanya kazi.
Kwa kawaida katika hali ya kupoteza homoni hii mama ujihisi ana uchovu wa mara kwa mara na mara nyingine uhisi mchovu wa mara kwa mara
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 web hosting 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Dalili 10 za kukaribia kujifungua pamoja na uchungu wa kujifungua
Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
Soma Zaidi...Faida na hasara za kutumia uzazi wa mpango
Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane miaka miwili. Uzazi wa mpango ni maamuzi kati ya mama na baba.
Soma Zaidi...Sababu za maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii
Soma Zaidi...Vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito
Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito, kwa sababu kuna sababu nyingi ambazo Usababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...SIKU HATARI ZA KUPATA UJAUZITO KWA MWENYE MZUNGURUKO WA SIKU KIDONGO AU NYUNGI
SIKU YA KUPATA UJAUZITO Kawaida wanawake walio wengi mzunguruko wa siku zao ni siku 28 lakini wapo ambao ni zaidi ya hapo na wapo ambao ni chini ya hapo.
Soma Zaidi...Tabia za Ute wa siku za hatari kupata mimba au ovulation
Posti hii inahusu zaidi tabia mbalimbali za Ute wa ovulation kwa sababu Ute huu huwa tofauti na Ute mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa tabia zake za kipekee kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...