Usichofahamu kuhusu mazoezi
Posti hii inahusu zaidi mambo muhimu ambayo hufahamu kuhusu mazoezi,ni mambo ambayo utokea au no matokeo mazuri kwa watu wanaofanya sana mazoezi.
Usichofahamu kuhusu mazoezi.
1. Mazoezi kwa kawaida usaidia kuzuia magonjwa tasiyoambukiza.
Kuna magonjwa mbalimbali ambayo hayaambukizi magonjwa hayo ni kama vile saratani mbalimbali , kisukari, Kansas na magonjwa mbalimbali ya moyo, usaidia kwa Saba unapofanya mazoezi unatoa uchafu kwenye mwili.
2 mazoezi pi udhibiti uzito wa mwili.
Kwa wale ambao Wana tatizo la kuongezeka uzito mara Kwa mara na bila Sababu wakifanya mazoezi uweza kudhibiti mwili na kuwa kwenye hali ya kawaida.
3. Pia mazoezi usaidia Katika mfumo wa upumuaji.
Kwa sababu Ili hewa iwe ya kutosha ni lazima mapafu yawe vizuri bila kuwepo na kizuizi chochote, kwa kufanya mazoezi hivyo usababisha kifua kiwe huru na kiweze kutoa vizuri hewa safi .
4. Pia mazoezi usaidia kupunguza cholesterol mwilini.
Kwa kawaida cholesterol ni kuwepo kwa mafuta mengi mwilini kwa hiyo mtu anapofanya mazoezi usaidia mafuta kuweza kuyeyuka na kuwa kawaida hali ambayo usababisha mafuta mwilini kupungua kwa sababu ya mazoezi, pia na kile kitendo cha kutoa jasho wakati wa mazoezi nacho usababisha mafuta kupungua mwilini .
5. Mazoezi pia usaidia moyo kusukuma damu vizuri.
Kwa sababu mtu akifanya mazoezi usababisha uchafu wote kuisha kwenye mishipa inayosafirisha damu kwa hiyo mishipa hiyo ikiwa huru usababisha moyo kusukuma damu kwa nguvu kwenye sehemu mbalimbali za mwili na damu usafiri vizuri bila shida yoyote .
6. Pia mazoezi usaidia mifupa kuwa na nguvu.
Kwa Sababu ya kufanya mazoezi usaidia kabisa mifupa kuweza kuimarika vizuri na kuendelea vizuri kabisa kwa hiyo mazoezi ni lazima Ili kuweza kuimarisha mifupa pia na misuli.
7. Pia mazoezi usaidia Katika kurahisisha viungo vya mwili.
Kwa kawaida Mtu akifanya mazoezi na vile vile viungo vya mwili uwa vyepesi na mtu uwa mwepesi zaidi.
8.Pia mazoezi usaidia kuzuia magonjwa.
Kwa kawaida kupitia mazoezi magonjwa kama mafuta, kuishiwa nguvu na vi magonjwa vidogo vidogo upungua.
9. Kwa hiyo mazoezi ni mazuri walau fanya mara tatu kwa wiki na pia baada ya mazoezi kunywa maji ya kutosha na pia mazoezi yasiwe makali na ya kupitiliza ambayo yanaweza kuleta matatizo mengine
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 web hosting 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, kuhusu hadithi hii ni pale Jackie anaandikiwa barua na Julius ili apotezwe akili na wavulana wengine kwa sababu Jackie aliwapita darasani.
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya tano
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya tano, baada ya bibi kuachana na mke mdogo wa mfalme alienda kwa kijana wa kiume wa mfalme na kuona udhaifu wake kwamba anapenda sana mali.
Soma Zaidi...Ni nani kama mama
Nani kama mama? Hadithi hii itakufunza umuhimu wa kuwa muwazi kuhusu familia yako.
Soma Zaidi...SAFARI YA MUUJIZA ( SEHEMU YA PILI)
Post hii ni mwendelezo wa hadithi ya safari yenye muujiza ,ni pale mtoto ya Mungu mengi anafika kwenye kituo Cha ntonga na kuona yake mazingira na kufahamu njia ya kwenda kule.
Soma Zaidi...NIMLAUMU NANI (sehemu ya sita)
Post inahusu zaidi hadithi ya NIMLAUMU NANI ambayo ni sehemu ya sita, katika kipengele hiki tunaenda kumwona msichana Amina anapambana na hatimaye anafunga ndoa ya kiserikali na Frank
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, hapa tunaona Jackie anajibu barua ya Julius kwa kusema yafuatayo.
Soma Zaidi...