Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Search Engine zipo nyingi, lakini wengi wetu tunatambuwa Google. Kuna sababu za kutokea hilo. Google wamewekeza sana klatika search kwani ni njia ambayo imekuwa ikiwaingizia mapato makubwa sana. Mfumo wa Android ambao umeenea sana, ni wa Google, hivyo ni kawaida kuiona Google search Engine kuwa ndio default. Sasa nini ufanye ili blog yako iweze kupatikana google. Endelea na post hii hadi mwisho.
Search Ebgine yeyote ni jukumu lake kutafuta post na blog yako popote pale kwenye internrt. kwa ufupi hakuna haja ya kufanya saana kwani search engine ipo kwa ajili yako. Google wataitafuta post yako popote pale na kuiweka kwenye matokeo ya itafutaji. Ila ni pale tu itakapokidhi vigezo vyao.
Search Engine hutumia maroboti ambayo hutafuta post popote zilipo. Kisha baada ya kuzipata huzipeleka kwenye database zao na tayari kwa ajili ya kuzipangilia na kuziweka tayari kwa ajili ya mtumiaji. Kitendo cha search engine kuitafuta post hujulikana kama Crawling. na kitendo cha kuzikaguwa na kuziweka kwenye database na tayari kwa ajili ya mtumiaji hutwa indexing. Kuna michakato mingi zaidi hufanyaka.
Ikitokea search Engine zimeshinwa kuona post zako ama blog yako, basi kuna mambo machache utayafanya kuhakiksha kuwa post zako zinaonekana. Mambo hayo ni kama:-
1. Unatakiwa ukaisajili post yako kwenye Google search console. Kwa kutumia email yako utalog in kisha utafuata utaratibu,. Baada ya kuisajili kuna machache utayafanya kama kuweka sitemap.
2. Unatakiwa kushea Post yako kwenye social media. Shea kwenye facebook group na whatsApp group. Shea na marafiki wengine na kwenye social media nyingine
3. Ifanyie promotion post yako ama blog yako. Waambie rafiki zako wakufanyie promotion ya blog yako kwenye blog zao. Hapa lengo ni kupata backlink hizi ni muhimu kwenye maendeleo ya blog yako.
4. Ongeza speed ya blog yako. hakikisha blog yako inakuwa simple, na isiwe na vitu vingi. Ondosha plugin ambazo hazina ulazima. Pia matumizi ya mapicha punguza ili ku save time ya ku load.
5. Andika post zenye ubora. hakikisha post zako ni unique, na zinatoa ujumbe. uandishi wako uwe wazi na sio kutumia maneno magumu, ama kuchanganyachanganya lugha.
Mwiho unatakiwa uwe na ushirikiana na mablog wenzio wengine ili wakupatie mawilinmatatu ambayo yanaweza kkusaidia kukuza blog yako
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako
Soma Zaidi...Malware ni neno pana na watu wengi si wenye kulitumia.
Soma Zaidi...Namna ya kutunza betri yako iweze kudumu kwa muda mrefu
Soma Zaidi...Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na malware
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu chanzo cha tatizo la computer au simu yako
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya legacy contact katika facebook
Soma Zaidi...