image

Utajuwaje kama kidonda kupona

Posti hii inahusu zaidi juu ya kuhakiki kama kidonda kimepona kwa mgonjwa mwenye vidonda, kwanza kabisa tunajua kuwa vidonda uwanyima Watu raha na pengine kuwafanya wakate tamaa kama wapo hospitalini kwa hiyo tunapaswa kutumia njia zifuatazo ili kuweza ku

Uhakiki wa kidonda kupona.

1.Tunapaswa kuangalia kama mishipa ya damu inaweza kupita na kusafirisha damu kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Kwa sababu sehemu yenye kila kidonda damu huwa haipiti ila kwa kadiri kinavyoendelea kupona hivyo hivyo ndiyo na mishipa ya damu inaanza kupita.

 

2 Kitu kingine ni kuangalia kiasi cha Maumivu kilichopo kwa kawaida kidonda kama ni kipya na maumivu yanakiwepo mengi na kadiri kinavyoendelea kupona na maumivu upungua kwa hiyo ukija kumruhusu Mgonjwa kwenda nyumbani akidai amepona kwanza kabisa jaribisha kama kuna maumivu au maumivu ni machache ambayo hata akiwa nyumbani anaweza kuyamudu na kupona vizuri.

 

3. Na pia tunapaswa kuangalia kama kidonda kinatoa  maji maji, kama kinatoa maji hiyo ni Dalili kwamba matibabu bado yanahitajika na mgonjwa anapaswa kuendelea kupata matibabu au kupewa dawa za kutumia ili aweze kuendelea kuzitumia.

 

4.Kwa hiyo katika kutibu vidonda tunapaswa kuangalia na hali ya wagonjwa wetu ikoje kwa sababu pengine vidonda vknadhindwa kupona kwa sababu ya Maambukizi au kuwepo kwa madawa yanayopunguza kinga mwilini kwa kufanya hivyo Mgonjwa anaweza kutibiwa kwanza chanzo na mengine yanaendelea baadae.

 

5. Kwa hiyo pale ruhusa inapotolewa ili mgonjwa aendelee na tiba ni vizuri kumpa mashariti akiwa nyumbani namna ya kutunza kidonda chake na kama ana Maambukizi awe makini ili asiwambukize wengine na wale wanaomzunguka           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/22/Tuesday - 02:28:38 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1997


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Jifunze namna ya kutoa huduma ya kwanza
Soma Zaidi...

Dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu
Posti hii inahusu zaidi dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu,ni Dalili ambazo Uweza kujionyesha kwa mtu ambaye ameshawahi kupatwa na tatizo la kizungu Zungu au hajawahi kupata dalili zenyewe ni kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Upungufu was fati
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu was fati Soma Zaidi...

Zijue kazi za Figo mwilini
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa Figo mwilini, Figo ni ogani ambayo kazi yake ni kuchuja sumu mwilini. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEUNGUA
Kuungua kupo kwa aina nyingi. Soma Zaidi...

Zijue kazi za ini
Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya Soma Zaidi...

Umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi, ni faida ambazo upatikana kwa watu wanaodhani wameambukizwa na virus vya ukimwi na kuweza kujikinga. Soma Zaidi...

Madhara ya ulevi
Poshi hii inahusu madhara ya ulevi.Utegemezi wa pombe kwa kawaida humaanisha kuwa mtu anatumia kiasi kikubwa cha pombe na kuna masuala kuhusu kupoteza udhibiti. Soma Zaidi...

Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu vitamini D na kazi zake mwilini
Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D. Soma Zaidi...

Namna ya kuyatunza macho
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPANDWA NA PRESHA
Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg. Soma Zaidi...