Utaratibu wa lishe kwa wazee

Utaratibu wa lishe kwa wazee

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee

UTARATIBU WA LISHE KWA WAZEEWazee Wazee hawahitaji kuPewa vyakula vya kutia nguvu kwa wingi. Wapewe vyakula vyenye kambakamba ili kuwapunguzia tatizo la kukosa choo na kuwezesha mmeng'enyo wa chakula.Wazee wapewe vyakula vyenye madini ya chuma, zink na kashiam(calcium) ili kupunguza uwezo wa kupata tatizo la anaemia. Pia madini ya zink ni muhimu katika kuufanya mwili uweze kujenga kinga ya mwili (immune system) na kusaidia kupona kwa urahisi na haraka kwa majeraha.Ili kupunguza tatizo la kuchoka kwa mifupa (mifupa kuwa dhaifu) kwa wazee wanatakiwa wapewe vyakula vyenye vitamini D na madini ya kashiam(calcium) kwa wingi.Pia wazee wapewe vyakula ambavyo ni rahisi kutafuna na kumeza. Hii ni kwa sababu wazee wao huwa meno na mifupa yao ni midhaifu pia wana upungufu wa uzalishaji wa mate midomoni mwao kwa mfano baada ya kuwapa nyama wapewe maini.

?

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 3611

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa

Post hii inahusu zaidi sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa,ni sababu ambazo uweza kuchangia kuwepo kwa michubuko kwa watoto wanaozaliwa.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kujikinga na U.T.I inayijirudia rudia.

Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye.

Soma Zaidi...
Njia za kushusha presha

Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.

Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATA JOTO LA JUU ZAIDI (HEAT STROKE)

Hii ni hali inayotokea ambapo wili unakuwa na joto la juu sana tofauti na kawaida.

Soma Zaidi...
Ratiba ya chanjo ya polio

Posti hii inahusu zaidi namna chanjo ya polio inavyotolewa na ratiba zake yaani kuanzia siku ya kwanza mpaka pale mtoto anapomaliza chanjo hii kwa hiyo tuone ratiba ya chanjo ya polio.

Soma Zaidi...
Mbinu za kuponyesha majeraha

Posti hii inahusu zaidi mbinu ambazo hutumika kuponyesha majeraha kwa haraka zaidi,tunajua majereha utokana na kupona kwa vile vidonda au kupona kwa sehemu ambayo imekuwa na majeraha kwa hiyo ili kuponyesha majeraha hayo tunapaswa kufanya yafuatayo.

Soma Zaidi...