picha

Utofauti wa deep web, dark web na surface web

Umeshawahi kujiuliza Nini hasa tofauti kati ya deep web, surface web na dark web.

Deep web, Dark web na surface web.

 

Surface web ni sehemu ya internet ambayo inaweza kufikiwa na search engine. Mara nyingi sehemu hii haihitaji mtu ku login.

 

Deep web ni sehemu ya internet ambayo haiwezi kufikiwa na search engine ksma google, bing, Yandex, yahoo n.k

 

Deep web ndio sehemu kubwa ya internet ambapo inakadiriwa inachukuwa asilimia 95 za internet yote.

 

Dark web ni kijisehemu kidogo cha deep web. Dark web ni sehemu ya internet ambayo haiwezi kufikiwa na browser hizi za kawaida. Pia search engine kama Google, Bong, Yandex, yahoo haiwezi kufika kwenye dark web. 

 

Unaweza kuingia dark web Kwa kutumia Tor browser. Pia browser kama brave browser inakupa access ya kutumia Tor network. Hivyo Kwa kutumia brave browser unaweza kuingia dark web.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

help_outlineZoezi la Maswali

info Jaza maswali yote au baadhi kisha bofya kitufe cha kutuma majibu hapo chini.
1 Ni browser gani hutumika unapotaka kuingia dark web _________

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-09 Topic: General Main: ICT File: Download PDF Views 1238

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 web hosting    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Vigezo vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta kwa ajili ya programming

hapa ninakuletea vitu vya kuangalia unapotaka kununua kompyuta kwa ajili ya kufanyia programming. Ama kutengeneza software mbalimbali.

Soma Zaidi...
Ifahamu Y2K yaani year 2000 bug

Moja katika changamoto iliyowahi kusumbuwa dunia kutokana na maendeleo ya tehama duniani.

Soma Zaidi...
Nisome language Gani ili niweze kutengeneza App

Kama Bado unajiuliza u some language IPO ya kompyuta ili uweze kutengeneza App basi post hii itakusaidia.

Soma Zaidi...
Meme ni nini

Watu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani

Soma Zaidi...
Tehama ni nini

Umesha sikia sana kuhusu neno tehama, lakini je umeshajuwa tehama ni nini hasa. Katika makala hii utakwenda kujifunza kuhsu tehama

Soma Zaidi...
Wajuwe wanasanyansi na lugha za kompyuta walizoanzisha

Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.

Soma Zaidi...
Je unahitaji kutengenezewa Android App

Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App

Soma Zaidi...
Changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama

Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass

Soma Zaidi...
Asilimia 77.2% ya website zinatumia PHP kama server side.

Kuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart na nyinginezo nyingi. Hata hivyo PHp bado inaedelea kuwa maarufu.

Soma Zaidi...