Uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga manii nje.
Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba.
Uzazi wa mpango kwa kumwaga shahawa nje.
1.Tunajua wazi kuwa uzazi wa mpango ni hali ya wanafamilia kupanga namba ya watoto wanaowahitaji na kuwapatia distansi kutoka kwa mtoto mmoja kwenda kwa mwingine, kwa hiyo na kumwaga shahawa ni aina mojawapo ya uzazi wa mpango, kwa hiyo tutaona jinsi au Namna njia hii inayotumika.
2.Kumwaga nje manii. Kunahitajika ushirikiano mkubwa kati ya mwanaume na mwanamke kwa sababu wakiwa kwenye tendo mwanaume huisi mbegu zinakuja uchomoa uume kutoka kwenye uke wa mama na kumwaga chini na kuendelea na shughuli zao,
3. Hii njia ni nzuri inapotumika kwa wapenzi na kwa uaminifu uweza kuzuia kuwepo kwa mimba kwa hiyo baba na Mama wanapaswa kuwa makini ili kusiwepo kwa mimba zisizotarajiwa.
4.Pamoja na hayo hii njia haiwezi kuzuia magonjwahiyo yayzinaa na ukimwi kwa hiyo ni lazima wapenzi kupima mara nying i kuwakinga wajawazito dhidi ya magonjwa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 ai web app 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Sababu za kupasuka kwa mfuko wa kizazi
Posti hii inahusu zaidi sababu za kupasuka kwa mfuko wa uzazi hasa mama anapokalibia kujifungua.
Soma Zaidi...Mwanamke anatema mate mara kwa mara je inaweza kuwa ni ujauzito?
Ni kweli kuwa kutema mate mara kwa mara inaweza kuwa ni dlili za ujauzito. Lakini itambulije kuwa pekee sio kithibitishi cha ujauzito.
Soma Zaidi...Mambo ya kuzingatia kwa mama ili apate huduma endelevu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...Dalili za mimba changa
Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja
Soma Zaidi...Dalili ya mimba ya wiki moja(1)
Mwanaume na mwanamke wanapo kutana na kujamiina kama mwanamke yupo kwenye ferlile process ni rahisi kupata mbimba. Sparm Zaid ya million moja huingia kwenye mfuko wa lakin sparm moja ndio huweza kuingia kwenye ovum(yai)lakin nyingine hubaki kwenye follopi
Soma Zaidi...