Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.
NINI VIDONDA VYA TUMBO?
Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.
Vidonda hivi hutokea kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaoitwa Helicobacter pylori (H.pylori) au kulika kwa ukuta wa tumbo kutokanana na athari za tindikali zilizopo tumboni (stomach acids) kama vile tindikali ya hydrocloric yaani hydrocloric acid. Kwa wakati tulio nao hili ni tatizo la kawaida maana limewapata watu wengi na halisabababishi vifo vya watu wengi kama maaradhi ya saratani na kisukari.
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda hivi vimegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni:-
1.Gastric ulcers hivi hutokea ndani ya tumbo la chakula
2.Esophageal ulcers hivi hutokea ndani ya esophagus. Hii ni sehemu inayounganisha kati ya koo la chakula na tumbo la chakula.
3.Duodenal ulcers hivi hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum
Vidonda vya tumbo ni pamoja na:
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu
Soma Zaidi...Kitunguuu thaumu ni muhimu sana katika afya yako, je unazijuwa faida hizo? njoo pamoja nami
Soma Zaidi...GOOGLE ADSENSE ni moja kati ya njia za kuu na muhimu za kujiingizia kipato kwa waandishi na wamiliki wa blogs na website.Naweza kusema kwamba ndio kampuni inayolipa vizuri kuliko nyingine yoyote ile japo zipo nyingine kama;
Soma Zaidi...MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tabia na vyakula vya watu wa kundi B,hawa ni watu wenye sifa za pekee na wanapaswa kupata vyakula vyao kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kukaa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto la mwili
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi, nini ufanye na dalili za maumivu ya tumbo la chango
Soma Zaidi...kuvimba kwa neva ya macho, fungu la nyuzi za neva ambazo hupitisha taarifa za kuona kutoka kwa jicho lako hadi kwenye ubongo wako. Maumivu na kupoteza maono kwa muda ni dalili za kawaida za kivimba kwa neva ya macho ambayo kitaalamu huitwa neuritis ya o
Soma Zaidi...