Posti hii inahusu zaidi vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda, ni vifaa muhimu ambavyo mara nyingi kutwa hospitalini.
Vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kubwa vidonda usafishwa kulingana na aina yake au hali yake kidonda kikubwa na chenye uchafu hakiwezi kusafishwa sawa na kidonda kidogo na kisicho na uchafu hata na dawa utofautiana.
2.Kuna dawa ambazo utumika kusafisha vidonda kama vile hydrogen peroxide, uso , na maji mengine ambayo kwa kawaida kuitwa hospitalini ambayo kwa kitaalamu huitwa normal saline ambayo utumika kusafishia vidonda vyenye uchafu wa kawaida.
3.vifaa vingine ni seti ya kusafishia vidonda ambavyo kwa kawaida huwa ni safi na usafishwa kila siku kabla ya kutumia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wenye ujuzi kuhusu kusafisha vifaa hivyo.
4. Pia wakati wa kusafisha vidonda panakuwepo na kitambaa ambacho hakiputishi maji ili kuweza kuzuia maji maji yasiendelee kutoka wakati wa kusafisha vidonda.
5. Pia panakuwepo na gloves ambazo mhudumu utumia ili kuepuka Ugonjwa au wadudu kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mhudumu au kutoka kwa mhudumu kwenda kwa mgonjwa.
6.Pia panakuwepo na ndoo kwa ajili ya kusafishia vyombo vitakavyotumiwa moja inakuwa naaji yenye sabuni nyingine maji yenye chlorine na nyingine maji ya kawaida ambayo ni masafi.
7. Na gauze , bandage vinapaswa kuwepo ili kuweza kumfunga mgonjwa baada ya kumsafisha na pia dawa iliyoagizwa na daktari inabidi kuwepo ili kuweza kumfungia baada ya kumwosha
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3003
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Madrasa kiganjani
👉4 Kitabu cha Afya
👉5 Simulizi za Hadithi Audio
👉6 Kitau cha Fiqh
Faida za damu kwenye mwili
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa damu mwilini, Damu ni tisu pekee yenye majimaji ambayo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu. Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka Soma Zaidi...
Upungufu wa vyakula vya madini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula vya madini Soma Zaidi...
Namna ya kuchoma chanjo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa. Soma Zaidi...
Mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu
Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu, kama mtu amepoteza fahamu Kuna mambo muhimu yanapaswa kuangaliwa kwa makini kama ifuayavyo. Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu fati na mafuta na kazi zake mwilini
Hata kama mtu atakuambbia usile vyakula yenye mafuta bado itahitajika kula tu. Kuna mafuta na fati je unajuwa utofauti wao. Ni zipi kazi zao mwilini? Endelea na makala hii Soma Zaidi...
Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje
Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili. Soma Zaidi...
Mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe, ni kipindi ambacho ni kutoka utotoni kwendea ujana. Soma Zaidi...
Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu Soma Zaidi...
Namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA MWENYE KIZUNGUZUNGU
Unapokuwa na kizunguzungu unashindwa kuudhibiti mwili wako, unaweza kuanguka kabisa. Soma Zaidi...