Madonda ya tumbo ni ugonjwa unaotokana na kuwepo kwa vidonda kwenye Koo, tumboni na kwenye utumbo mdogo
Zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa madonda ya tumbo.
Tafiti zinathibitisha kuwa chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo ni mashambulizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori (H. pylori) na matumizi ya muda mrefu ya dawa aina ya nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) ambazo ni pamoja na ibuprofen (Advil, Motrin IB, n.k) na naproxen sodium (Aleve). Mambo yafuatayo huongeza hali ya hatari kwa mwenye vidoda vya tumbo:-
1. Msongo wa mawazo
2. Kuwepo kwa acidic nyingi kuliko kawaida tumboni
3. Kutokula kwa wakati
4. Kutumia madawa kwa mda mrefu
5. Kutumia vileo vikali na kuvuta sugara kwa mda mrefu.
Aina za madonda ya tumbo
1. Madonda ya tumbo yanayokutwa kohoni
2. Madonda ya tumbo ya kwenye ukuta wa tumbo
3. Madonda ya tumbo kwenye utumbo mdogo
Dalili za madonda ya tumbo
1. Kuhusu maumivu makali tumboni na koooni
2. Kichefuchefu na kitapika
3. Damu kwenye choo
4. Kupunguza uzito
5. Pengine tumbo kukwaruza.
Namna ya kuepuka kupata vidonda vya tumbo
1.kula kwa wakati
2.kupunguza vyakula vyenye acidi
3.kuachana na pombe na madawa makali
4.kupinguza mawazo
Vidonda vya tumbo vinatibika ukiuwahi mapema kwa hiyo kila tusikiapo dalili yoyote tunapaswa kwenda hospitalin kupata dawa Ili kuepuka matatizo zaidi.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1190
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio
👉2 Madrasa kiganjani
👉3 Kitau cha Fiqh
👉4 Kitabu cha Afya
👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉6 kitabu cha Simulizi
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Soma Zaidi...
Je pumu inaweza kusababishwa na virusi ama bakteria?
Hapa utakwenda kujifunza jinsi ambavyo pumu inaweza kuwa na mahusiano kwa kuwepo kwa aina flani ya bakteria ama virusi. Soma Zaidi...
Maumivu, kizunguzungu, kichefuchefu na kutoka na damu ni dalili zamimba?
Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea. Soma Zaidi...
Namna madonda koo yanavyotokea
Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu. Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake Soma Zaidi...
Dalili za kifua kikuu kwa watoto.
Posti hii inahusu zaidi dalili za kifua kikuu kwa watoto,ni Dalili ambazo ujitokeza kwa watoto pindi wanapopata Maambukizi ya kifua kikuu. Soma Zaidi...
Namna ya kuepuka Ugonjwa wa ngiri.
Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo. Soma Zaidi...
Tatizo la ngozi kuwasha (ugonjwa wa kuwashwa kwa ngozi
Dermatitis ni hali inayofanya ngozi yako kuwa nyekundu na kuwasha. Ni kawaida kwa watoto, lakini inaweza kutokea katika umri wowote. Hakuna tiba iliyopatikana ya ugonjwa wa Dermatitis Soma Zaidi...
Jinsi ya kujilinda na maradhi ya ini
Hapa nitakueleza namna ambavyounaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi ya ini. Kwa njia hizi unaweza kujikina wewe na wengineo na maradhi haya hatari ya ini. Soma Zaidi...
Yajue maambukizi kwenye epididimisi kwa kitaalamu huitwa (Epididymitis)
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye epididimisi, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye epididimisi na kusababisha matatizo mengi. Soma Zaidi...
Ugonjwa wa upungufu wa maji mwilini.
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji. Soma Zaidi...
Huduma kwa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi msaada kwa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa, ni huduma anayopewa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa. Soma Zaidi...