VIPIMO MUHIMU KABLA YA KUBEBA MIMBA


image


Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara.


Vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba.

1.Wachumba na akina Mama kabla ya kubeba mimba wanapaswa kupima vipimo ili kuweza kuangalia kama kuna Magonjwa yoyote ambapo akibeba mimba atapata shida kwake na kwa mtoto.

 

2.Kwanza kabisa Mama anapaswa kupima kama ana Magonjwa yoyote ya zinaa kama vile kaswende kisonono na Magonjwa mengine kama hayo kwa sababu Mama akibeba mimba akiwa nayo mimba inaweza kutoka au Mama anaweza kupata mtoto mfu kwa hiyo ni lazima kupima magy hayo kabla ya kubeba mimba.

 

3.Pia mama na wachumba wanapaswa kupima temperature, msukumo wa damu, mapigo ya moyo, na upumuaji, Magonjwa ya moyo, sukari kwa kufanya hivyo ni maandalizi mazuri ikitokea kuna ugonjwa wowote unatibika mara moja na Mama akija kubeba mimba anakuwa salama na mtoto atakuwa salama kabisa.

 

4.Pia Mama anapaswa kupima kundi la damu yake na kulijua wazi na pia kupima kiwango cha damu na pia kupima kama kuna mambukizi ya virus vya ukimwi kwa kufanya hivyo ataweza ikiwa mama siku ya kujifungua akiishiwa damu ni rahisi kujua damu yake au akikutwa na Maambukizi ni njia nzuri ya kumkinga mtoto kwa hiyo ni vizuri kabisa kupima Mama kabla ya kubeba mimba.

 

5.Kwa hiyo tumeona wazi faida za kupima kabla ya kubeba mimba kwa akina mama na wachumba kwa sababu tunaepuka madhara mbalimbali kwa watoto na kuwakinga na Magonjwa kabla hawajazaliwa ili wazaliwa kabisa kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa mtoto ukimweka kwenye mazingira mazuri ya kuzaliwa atazaliwa salama.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Namna ya kutunza chumba cha upasuaji
Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza chumba cha upasuaji, chumba cha upasuaji ni tofauti na vyumba vingine kwenye hospitali kwa hiyo vinahitaji uangalizi wa hali ya juu sana ili kuepuka aina yoyote ya uchafu kuwepo kwenye chumba hicho, zifuatazo ni namna ya kutunza chumba cha upasuaji. Soma Zaidi...

image Watu walio hatarini kupata fangasi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya watu walio hatarini kupata fangasi Soma Zaidi...

image Dalili na ishara za Ugonjwa wa akili.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili . Soma Zaidi...

image Dalili za coma
Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali Jeraha la kichwa , Kiharusi, Tumor ya ubongo, ulevi wa dawa za kulevya au pombe, au hata ugonjwa wa msingi, kama vile Kisukari au maambukizi. Soma Zaidi...

image Namna ya kujikinga na kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia au kujikinga na kifua kikuu, hizi ni njia ambazo utumika ili kujikinga na kifua kikuu Soma Zaidi...

image Athari za kutotibu fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi Soma Zaidi...

image Hernia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa hernia Soma Zaidi...

image Imani potofu kuhusu madawa ya hospitalini
Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu madawa yanayotolewa hospitalini, ni imani waliyonayo Watu hasa Watu wa bi vijijini na hata wa mjini nao wameanza kutumia madawa ya miti shamba kwa wingi. Soma Zaidi...

image Dalili za fangasi ukeni
Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri. Soma Zaidi...

image Dawa za mapunye
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za maounye Soma Zaidi...