Vipimo vya kuchunguza kama una asidi nyingi tumboni

Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni

Vipimo vya kuchunguza kama una asili au tindikali nyingi tumboni.

1. Kama tunavyofahamu kwamba kwenye tumbo kuna asidi au tindikali ambayo inafanya kazi ya mmeng'enyo wa chakula.ila kuna kipindi inaongezeka na kuleta madhara kama vile kiungulia.

 

 

 

 

2. Kuna vipimo mbalimbali ambavyo utumika kuangalia kiwango cha asidi mwilini ambayo imezidi.

 

 

 

3. Kipimo cha kwanza ni kioo au x- ray kwa lugha ya kitaalamu ambapo kimiminika na kumezwa ili kuweza kutambua kiwango cha asidi mwilini wakati wa kupigwa kioo.

 

 

 

 

4. Kipimo kingine ni endoscopy.

Ni kama kamera fulani ambayo uwekwa kwenye sherehe za tumbo na picha yote ya kwenye tumbo uoneshwa kwenye screenJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 06:05:55 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1014

Post zifazofanana:-