Vipimo vya minyoo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo vya minyoo

VIPIMO VYA MINYOO

Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo. Itahitajika uende hospitali kwa ajili ya vipimo zaidi. Kuna aina tano za vipimo vya kupima minyoo kama vile:-

 

kupima kinyesi kama kina minyoo au mazalia ya minyoo (fecal test)

Kumulika utumbo mkubwa (colonoscopy) hiki ni kifaa chenye kamera ambacho kinaingizwa kwenye njia ya haja kubwa, ili kumulika utumbo mkubwa kama kuna minyoo

Kupima damu (blood test)

Kuchukuwa picha za mwili kwa kutumia vifaa kama X-ray, MRI na CT scan.

Kupima kwa kutumia tep (tape test). unapewa kaji tep (kama kamkanda kadogo) kisha unakaweka kwenye tundu ya haja kubwa na mara nyingi wakati wa asubuhi unapoamka. Kisha katep haka kanawekwa kwenye hadubuni (microscpe) na kuchunguza uwepo wa minyoo aina ya pinworm au mayai yao.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-07     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1785


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini Soma Zaidi...

Faida za chanjo
Posti hii inahusu zaidi faida ya chanjo, tunajua wazi kuwa chanjo Ina faida kubwa kwenye mwili wa binadamu na vile vile kwenye jamii kama tutakavyoona hapo chini. Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa aliyeungua moto
Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just, Soma Zaidi...

Ukiwa unalima sana unaweza kukonda
Unadhanivkufanya kazi kunaweza kukusababishia maradhi ama mwili kudhoofu, ama kukonda. Umeshawahivkujiuliza wanao nenepa huwa hawafanyi kazi? Soma Zaidi...

Zijue kazi za chanjo ya DTP au DPT (Donda Koo,Pepopunda, na kifaduro))
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro. Soma Zaidi...

Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini Soma Zaidi...

Mkojo wa kawaida
Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo. Soma Zaidi...

Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

Zijue hasara za magonjwa ya ngono
Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga. Soma Zaidi...

Namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Pumu, dalili zake na njia za kujilinda dhidi ya Pumu.
Pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu kitaalamu huitwa bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na michubuko sugu mwilini kwenye mirija yake ya kupitisha hewa. Hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija Soma Zaidi...

Dalili za unyanyasaji wa kimwili
Unyanyasaji wa kimwili. Unyanyasaji wa watoto kimwili hutokea wakati mtoto amejeruhiwa kimwili kimakusudi. Unyanyasaji wa kijinsia. Unyanyasaji wa watoto kingono ni shughuli yoyote ya kingono na mtoto, kama vile kumpapasa, kushikana mdomo na sehemu Soma Zaidi...