picha

Vipimo vya VVU

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo mbalimbali vinavyotumika kupima VVU

VIPIMO VYA VVU:

VVU vinaweza kuonekana mapema sana kulingana na aina ya vipimo. Vipo vipimo ambavyo vinaweza kugunduwa virusi mapema sana hata ndani ya wiki. Hivi hutumiaka sana maabara na si rahisi kuvipata. Hapo chini nitataja baadhi ya vipimo ambavyo hupatikana karibia maeneo mengi

 

Kuna aina nyingi za vipimo vya VVU. Hapa nitataja baadhi tu ya aina za vipimo hivyo:-

1. Kipimo kinachohuisisha Muunganiko wa HIV antibody na antigen. Chenyewe kinaweza tu kupima damu ya mtu. Hivi vinatumika kugunduwa antigeni ijulikanayo kama p24. antigeni p24 ni chembechembe inayozalishwa mwilini baada ya kupata maambukizi, hivyo kama itakuwepo kwenye damu inamaana mtu atakuwa ameathirika. Kipimo hiki kinaweza kugunduwa virusi mwilini kuanzia wiki 2 mpaka 6 toka kuambukizwa. Yaani kuanzia wiki 2 mpaka mweni mmoja na nusu.

 

2.kipimo cha HIV antibody testing. Kipimo hiki kinaweza kupimwa kwa kuchukuwa damu ya mtu ama majimajinya wili wake. Chenyewe kinapima VVU mwilini kuanzia wiki ya 3 mpaka wiki ya 12 yaani wiki tatu mapaka miezi mitatu.

 

3.Kipimo kuangalia viral load; huu ni upimaji wa kiasi cha virusi kwenye kipimo cha damu. Ni kuwa kama kiasi cha virusi kwenye damu yako ni kikubwa sana unaweza kuwa dhaifu kuliko ambaye kiasi chake ni kidogo.

 

4.Kipimo cha kuangalia drugs resistance. Hapa ni kuangalia uwezo wa mwili kama utakuwa msugu kutumia aina flani ya ART.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views 4588

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Dalili za ngozi kuwasha.

Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa kuhusiana na dalili za ngozi kuwashwa.

Soma Zaidi...
Ni Nini husababisha kinjwaa kutoa harufu mbaya?

Posti hii inaelezea kuhusiana na sababu zinazosababisha kinjwa au mdomo kutoa harufu mbaya?

Soma Zaidi...
Dalili za malaria

Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.

Soma Zaidi...
UGNJWA WA UTI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Maambukizi ya H.pylori (Vidonda vya tumbo)

Maambukizi ya H. pylori hutokea wakati aina ya bakteria inayoitwa Helicobacter pylori (H. pylori) inapoambukiza tumbo lako. Hii kawaida hutokea wakati wa utoto. Sababu ya kawaida ya Vidonda vya tumbo, maambukizi ya H. pylori yanaweza kuwa katika za

Soma Zaidi...