Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake
Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake.
Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake.
Kama tulivyokwisha kuona kuwa historia ya Waasi ilianza zamani toka wakati mtume akiwa hai akipambana na mayahudi, manasara, na makafiri wakishirikiana na kundi la wanafiki. Katika kurasa zijazo tutekwenda kuona jinsi uasi huu ulivyotokea, nini hasa chimbuko lake na wapi walikuwa ni wahusika zaidi.
Uasi huu uliweza kusababisha umwagaji wa damu za Waislamu. Uasi huu pia ulipelekea upotevu wa mali na haki katika jamii iliyokuwa na misingi thabiti na imara iliyoachwa na Mtume wa Allah.
Uasi huu ulipeleke matokea mabaya kama:
1. Vita vya enyewe kwa wenyewe
2. kuuliwa kwa makhalifa
3. Haki kutotekelezwa
4. Kuanzishwa kwa tawala za Kifalme na kathalika
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Mjadala juu ya ndoa ya Mtume Muhammad s.a.w na bi Khadija.
Sara na historia ya Mtume Muhammad s.a.w sehemu ya 16. Hapa utajifunza maandalizi wa mjadala wa ndoa hizi.
Soma Zaidi...