Vitu vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid (majimaji yanayomzungruka mtoto aliyekuwepo tumboni wakati wa ujauzito)

Post hii inahusu zaidi viti vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid, ni jumla ya vitu vyote vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.

Vitu vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.

1. Kwenye maji ya Amniotic fluid Kuna Alkaline hii alikalni iliyomo Ina kiwango chake ambacho kinamfanya mtoto aweze kuishi pale,alkaline umsaidie mtoto aendelee kukua zaidi kuanzia pale maji yanapotengenezwa mpaka anapozaliwa kiwango Cha alkaline kilichopo kwenye Maji ya Amniotic fluid ni pH ya 7.2. hii inamsaidia mtoto aweze kukua vizuri. Kwa hiyo Alkaline hii inamsaidia mtoto aweze kukua kuanzia hatua Moja kwenda nyingine.

 

 

2.Maji ya Amniotic fluid Kuna kiasi Cha maji ambayo Yamo ndani yake maji hayo uwa na kiwango maalumu ambacho kinahitajika Ili maji yaweze kuruhusu mtoto aweze kukua, maji hayo utokana na  mkojo wa mtoto anapokuwa tumboni mwa mama yake na pengine kutokana na kazi mbalimbali mwilini ambazo uongeza kiwango Cha maji kwenye mwili, kiwango Cha maji ni kikubwa mno ambacho uanzia asilimia tisini na nane mpaka tisini na Tisa tunaona ni kiwango kikubwa mno.

 

3.Maji ya Amniotic fluid yana vyakula vya wanga, ambayo kwa kitaalamu huitwa fluctose na glucose, Kuna vyakula vya protein ambayo kwa kitaalamu huitwa albumin na globulin, Kuna vyakula vya mafuta  Kuna homoni ambazo ni progesterone na oestrogen Kuna enzyme ambazo kwa kitaalamu huitwa alkaline phosphatase ambayo uzalisha kiasi Cha alkaline vyote hivi ukaa ndani ya Amniotic fluid na ufanya kazi mbalimbali na utokana na vitu mbalimbali.

 

4. Maji ya Amniotic fluid huwa na madini mbalimbali.

Madini mbalimbali ambayo kazi yake ni kujenga mwili na kufanya kazi mbalimbali mwilini madini haya ni pamoja na sodium, potassium na chlorine haya madini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili wa mtoto kama vile kujenga mwili na jaxi mbalimbali za mwili wakati wa makuzi ya mtoto.

 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/14/Tuesday - 12:06:18 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1201

Post zifazofanana:-

Zijue hatua za kufata ili kuepuka maradhi ya tumbo
Posti hii inaelezea kuhusiana na hatua za kufata ili kujikinga au kuepuka maradhi ya tumbo.kuna vitu vikikosekana husababisha maumivu ya tumbo. Soma Zaidi...

Mambo yanayodhihirisha afya ya nguvu za kiume
Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume. Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na presha ya kupanda/hypertension
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda Soma Zaidi...

Faida za kula fyulisi/peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach Soma Zaidi...

Dalili za madhara ya ini
Ini Ni kiungo kikubwa Sana mwili na hutumika kuondoa sumu mwili ambayo hujulikana Kama detoxification Soma Zaidi...

Mwenendo wa mwenye kunuia hijjah na umrah
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Madhara ya kutotibu uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo,ni madhara yanayotokea kwenye mfumo mzima wa kupitisha mkojo na via vya uzazi kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua. Soma Zaidi...

Njia za kufanya ili kuepukana na tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo. Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin E
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E Soma Zaidi...

The fastest (anakwenda mbio zaidi)
Posti hii inakwenda kukuletea sifa za mnyama anayekwenda mbio zaidi Soma Zaidi...

Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini Soma Zaidi...