VIWANGO VITATU VYA KUUNGUA.


image


Posti hii inahusu zaidi viwango vitatu vya kuungua. Ili tuweze kujua mtu ameunguaje Kuna viwango vitatu vya kujua kiasi na namna mtu alivyoungua


Viwango vitatu vya kuungua

1.Kuungua sehemu ya juu ya mwili

Hii ni pale mtu anapoungua juu ya ngozi bila kuaribika kwa mishipa ya damu na neva

Dalili zake

.mwili kuwa mwekundu

. Maumivu 

,.sehemu ya juu inayofunika mwili nayo uungua

2. Kuungua kwa kuingia ndani ya nyama

Kuungua Huku hutokea wakati sehemu ya kwanza inayofunika mwili kuungua na sehemu ya pili pia uungua.

Dalili zake 

. Maumivu makali

. Kuvimba kunakoambatana na maji kwa kitaalamu huitwa ( brister )

3. Kuungua sehemu ya ndani kabisa ya mwili ambapo Neva na mishipa inayosafilisha damu uungua.

Dalili zake

.Hakuna maumivu yoyote kwa sababu Neva zimepungua

. Sehemu zote tatu za mwili uungua

.Neva na mishipa inayosafilisha damu uungua.

Kwa hiyo tujue kwamba mtu akiungua ameunguaje na tuone namna ya kumsaidia.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Imani potofu kuhusu kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi imani potofu waliyonayo Watu kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu, hizi ni imani ambazo uwepo kwenye jamii na pengine uweza kuaminika lakini si za ukweli. Soma Zaidi...

image Watu walio hatarini kupata UTI
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya makunfi ya watu walio hatarini kupata UTI Soma Zaidi...

image ninatatizo la miguu kuuma nimepima wanasema seli nyeupe za damu ipo chini Sana sasa nauliza dawa hizi za vitamin k na sindano vinaweza nisaidia?
Upungufu wa damu ni tatizo la kiafya, lakini kupunguwa seli nyeupe za damu ni tatizo zaidi, nikwa sabaabu seli hizi ndizo ambazo hupambana na wadudu shambulizi wanapoingia mwilini. Soma Zaidi...

image Dalili za kujifungua
Makala hii itakwenda kukufundisha dalili za kujifunguwa, hatuwa za kujifunguwa na kuzalisha, pia utajifunza mabo muhimu kabla na wakatii wa kujifungua. Soma Zaidi...

image Swali langu ni hivi ,napata maumivu kwa mbali kwenye njia za mkojo pia napoteza ham na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kadiri siku zinavoenda je,hizi ni dalili za tezi dume?
Hivi umeshawahikujiuliza kuhusu tezi dume. Wacha nikujuze kitu kimoja, ni kuwa tezi dume huwapata watu kuanziamiaka 40 na kuendelea. Na ifahamike kuwa tezi dume sio busha ama ngiri maji. Pia itambulikekuwa rozi dumehutibika. Soma Zaidi...

image Chanjo zinazotolewa nchini Tanzania
Posti hii inahusu zaidi chanjo ambazo utolewa nchini Tanzania, ni chanjo ambazo uzuia Magonjwa ambayo yako katika sehemu mbalimbali za nchi. Soma Zaidi...

image Njia za kutumia Ili kuepuka tatizo la kupungua kwa damu
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi Soma Zaidi...

image Dalili za saratani ya koo
Saratani ya Koo inarejelea Vivimbe vya Saratani vinavyotokea kwenye koo lako (koromeo), sanduku la sauti (larynx) au tonsils. Soma Zaidi...

image Dalili na ishara za Ugonjwa wa kuambukiza.
Magonjwa ya kuambukiza ni maradhi yanayosababishwa na vijidudu kama vile bakteria, virusi, fangasi au vimelea. Viumbe vingi vinaishi ndani na kwenye miili yetu. Kwa kawaida hazina madhara au hata kusaidia, lakini chini ya hali fulani, baadhi ya viumbe vinaweza kusababisha ugonjwa. Soma Zaidi...

image Ajali ya jicho
Post hii inahusu zaidi ajali ya jicho na visababishi vyake, ajali ya jicho ni pale jicho linavyoingiliwa na uchafu na vitu vingine ambavyo havistahili kuwa kwenye jicho Soma Zaidi...