Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito, mama mjamzito ni mama ambaye amebeba kiumbe ndani kwa hiyo anapaswa kutumia vyakula vyenye virutubisho mbalimbali vitakavyomsaidia mtoto kukua vizuri.
Vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito ni pamoja na.
1.kula Aina Tano za vyakula na kunywa maji ya kutosha walau Lita Moja na nusu kwa siku
2.Anapaswa kutumia nyama na maini
3.anapaswa kutumia mboga za majani Ili kuongezeka vitamin c
4.anapaswa kuwa msafi katika vyakula na maji
5.Aepuke kunywa sana chai au kahawa akiwa anakuja Ili kuepuka kusambaratisha madini ya chuma na kusababisha upungufu wa damu
6.Aepuke pombe kwa sababu zinazuia ukuaji wa mtoto na kuaribu ubongo wa mtoto
7.Atumie madawa ya kuongeza damu na madini ya chuma kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu faida za kunywa maji kabla hujula kitu chochote,tunajua kabisa kabla ujala au kunywa chochote sumu nyingi mwilini zinakuwa hazijachanganyikana na chochote kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa kuna faida kubwa nyingi za kunywa maji kama ifuatavy
Soma Zaidi...Kula uyoga kwa faida kubwa, ja unazijuwa faida za kula uyoga kiafya
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...