Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
VYAKULA HATARI KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
Wataalamu wa afya wanatuhakikishia kuwa vyakula sio sababu ya kutokea kwa vidonda vya tumbo. Ila vyakula vinaweza kusababisha hali ya maumivu na shida za vidonda vya tumbo kuwa kubwa na mbaya zaidi. Makala hii inakwenda kukuorodheshea vyakula ambavyo ni hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo
1.Vyakula vyenye mafuta mengi
2.Matunda yenye uchachu sana huenda yakawa hatari kama asili ya vidonda vyako ni asidi ya tumboni
3.Maziwa ; maziwa yanaweza kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo ila yanasababisha hali kuwa mbaya zaidi baadaye
4.Vyakula vyenye pilipili kwa wingi huwenda vikafanya maumivu yako kuwa makali.
5.Matumizi ya chokoleti; kwa baadhi ya watu inaweza kusababisha maumivu kuzidi.
6.Vyakula vyenye gesi kama maharagwe yasiyo ya soya.
7.Matumizi ya soda
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la Kurithi ambapo Damu inatoka kwa muda mrefu wakati au baada ya jeraha bila kuganda.
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra.ΓΒ UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu
Soma Zaidi...Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea.
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na kujikinga au kuzuia virusi vya ukimwi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo mgonjwa wa ngiri anaweza kuzipata, kwa hiyo baada ya kusoma na kuelewa dalili hizi mgonjwa anapaswa kuwahi hospitali mapema kwa ajili ya kupata matibabu.
Soma Zaidi...Maambukizi ya Norovirus yanaweza kusababisha kutapika sana naΓΒ Kuhara. Virusi huambukiza sana na kwa kawaida huenea kupitia chakula au maji ambayo yamechafuliwa na kinyesi wakati wa kutayarisha. Unaweza pia kuambukizwa kwa kuwasiliana kwa karibu na mtu
Soma Zaidi...Baada ya kujifungua mwili wa mwanamke huwa na mabadiliko tofauti na siku za nyuma. Kwa mfano hatapatavtena hedhi, hatoweza kupata ujauzito kwa muda wa mwezi ama zaidi. Endelea na post hii ujifunze zaidi
Soma Zaidi...VIPIMO VYA MINYOO Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo.
Soma Zaidi...