Vyakula vinavyosaidia katika kusafisha ini
Post hii inahusu zaidi baadhi ya vyakula ambavyo vinaweza kutumika ili kuweza kuweka ini kwenye hali yake ya kawaida.
Vyakula vinavyosaidia kusafisha na kulinda ini.
1. Kitunguu swaumu.
Kwa sababu kwa asili yake kitunguu swaumu uondoa sumu kwenye mwili na pia ulinda ini ili lisiaribiwe na Sumu.
2. Matumizi ya limau.
Pia na limau usaidia sana katika kusafisha ini , matumizi yake ni kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na limau asubuhi kabla ya kula chochote usaidia sana kusafisha ini.
3. Tumia mboga za majani mara kwa mara kwa sababu usaidia kusafisha ini .
4. Matumizi ya parachichi na hasa mbegu yake pia usaidia sana kusafisha ini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage
Soma Zaidi...Vyakula vya fati
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya fati na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Vyakula na vinywaji hatari na vilivyo salama kwa mgonjwa wa kisukari
Hapa utajifunza vyakula hatari kwa mgonjwa wa kisukari, pia utajifunza vyakula salama anavyotakiwa ale mgonjwa wa kisukari, Pia ujajifunza njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree
Soma Zaidi...Vyakula vya vitamin D
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin D
Soma Zaidi...