Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito

Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida.

Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito.

1.pamoja na kutumia njia mbalimbali za mazoezi ila kuna vyakula ambavyo ukivitumia unaweza kupunguza uzito vyakula vyenyewe ni kama tulivyoona.

 

2. Matumizi ya nyama za aina yoyote.

Yaani nyama ya ng'ombe, nguruwe,kuku na mbuzi hazina effects yoyote unaweza kutumia.

 

3. Samaki aina yoyote ile na matumizi ya mboga mboga za majani na matunda yasiyokuwa na sukari.

 

4. Matumizi ya karanga aina yoyote ile unaweza kutumia pamoja na siagi.

 

5. Mafuta ya mimea ila kwa kiwango kidogo.

 

6. Baadhi ya matunda yasiyo na sukari nyingi.

 

7. Bidhaa za mafuta zisizokuwa na sukari nyingi



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/22/Friday - 09:41:50 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1112


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-