Vyakula vya kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Posti hii inahusu zaidi vyakula mbalimbali vya kuongeza tendo la ndoa, kwa kawaida kuna vyakula mbalimbali ambavyo watu ukitumia ili kuweza kuongeza tendo la ndoa vyakula hivyo ni kama tutakavyoona hapo baadaye

Vyakula vya kuongeza hamu ya tendo la ndoa.

1. Chakula aina ya kwanza ni pilipili.

Kwa kawaida tunajua kwamba ukitumia pilipili unasisimka mwili mzima na pengine unatoa makamasi kwa hiyo na kwa upande wa tendo la ndoa kwa watumiaji wa pilipili kwa wingi huwa wanapata hamu sana ya kufanya tendo la ndoa.

 

 

 

 

2. Matunda na mboga za majani.

Kwa matumizi ya matunda na mboga za majani nazo huwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa sababu matunda na mboga za majani usaidia sana kupunguza mafuta na sumu mwilini kwa hiyo na walaji wa mboga mboga za majani na matunda wanapata hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

 

 

 

 

3. Matumizi ya nafaka zisizokobolewa nazo usaidia kuwepo kwa hamu ya tendo la ndoa nafaka kama vile mahindi ambayo hayajakobolewaa, maharage, kunda na nafaka zote kwa sababu zina uwezo wa kuzalisha homoni ya testosterone kwenye damu.

 

 

 

 

4. Tangawizi.

Kwa kawaida tangawizi kazi yake ni kusisimua , usaidia kusisimua mfumo au mzunguko wa damu, kwa matumizi ya tangawizi ya mara kwa mara usababisha kuwepo kwa msisimko kwenye damu.

 

 

 

 

5. Asali 

Na asali pia usaidia katika kuwepo kwa hamu ya tendo la ndoa kwa sababu asali usaidia kuzalisha homoni ya estrogen.

 

 

 

6. Karanga.

Pia na karanga usababisha kuwepo kwa urahisi kwenye mzunguko wa damu kwa kufanya hivyo kwa matumizi ya karanga tunaweza juwa na hamu ya tendo la ndoa.

 

 

 

7. Soya.

Pia nayo ni Mojawapo kwa sababu ya kuwepo kwa homoni ya phytoestrogen ambayo usaidia sana wamama walioingia kwenye menopause



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 08:46:12 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2685


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-