Vyakula vya protini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini
VYAKULA VYA PROTINI
1. Samaki
2. Mayai
3. Maziwa
4. Nyama
5. Kunde
6. Maharagwe
7. Mbaazi
8. Mboga za majani
9. Dagaa
10. Kumbikumbi
11. Senene
12. Nafaka
Faiza na kazi za protini mwilini:
Protini husaidia katika kkujenga miili yetu. Pia husaidia katika uponaji wa vidonda, utengenezwaji wa homoni na utengenezwaji wa enzymes. Kwa ufupi protini ni kirutubisho kinachochukuwa nafasi kubwa zaidi katika miili yetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 ai web app 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 ai web app 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Faida za kitunguu maji/ onion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula spinach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach
Soma Zaidi...