Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin D
VYAKULA VYA VITAMINI D
1. Chanzo kikuu cha vitamini D ni mwanga wa jua, vyanzo vingine katika vyakula nu:-
2. Mayai
3. Maziwa
4. Maini
5. Uyoga
Faida za vitamini D
1. Kusaidia unyonzwaji wa madini kutoka kwenye chakula kwenda kwenye damu
2. Hudaidia kuboresha afya ya mifupa
3. Mifupa kuwa imara, madhubuti na isiyopasuka kiurahisi
4. Hudaidia kwa afya ya moyo na mishipa ya damu
5. Pia husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini?
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga
Soma Zaidi...utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...