image

Vyakula vya vitamin E

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E

VYAKULA VYA VITAMINI E

1. Karanga

2. Palachichi

3. Maziwa

4. Samaki

5. Siagi

6. Viazi mbatata

7. Mchele

8. Siagi

9. Korosho

10. Spinachi

11. Alizeti

12. Mayai

13. Maini

14. Nyama

 

Kazi za vitamini E

1. Husaidia kuondosha sumu za kemikali na vyakula mwilin

2. Husaidia katika utengenezwaji wa utando wa seli mwilini

3. Husaidia katika utengenezwaji wa utando maeneo mbalimbali ya mwili kama neva

4. Husaidia katika ukuaji mzuri wa mifupa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2684


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Faida za kula Matunda
Sifanjema Ni za Mwenyezi Mungu aliyetupa Afya njema hata kuifanya kazi hii mpaka kufiia hapa. Soma Zaidi...

Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo, na vyakula salama kwa vidonda vya tumbo
Makala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...

Vyakula vya fati na mafuta na kazi zake
Soma Zaidi...

Aina 20 za Vitamini, kazi zake, vyanzo vyeke na madhara ya upungufu wake
Katika post hii utakwenda kujifunza aina 20 za vitamini. Utajifunza kazu zake mwilini, vyanzo vyake na madhara yanayoweza kutokea kutokana na upungufu wake. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mihogo
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Nyama
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula pera
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera Soma Zaidi...

Vitamini C Ni nini?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana na historia ya vitamin C Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamini C na faida zake
Soma Zaidi...

Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini. Soma Zaidi...

Lishe salama kwa mjamzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito Soma Zaidi...