image

Vyakula vya wanga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya wanga na umuhimu wake mwilini

VYAKULA VYA WANGA

1. Mahindi

2. Mtama

3. Mihogo

4. Viazi

5. Ngano

6. Mikate

7. Mtama

8. Mchele

9. Keki

10. Krosho

11. Karanga

12. Ndizi

13. Nyama

14. Mayai

15. Maziwa

 

Kazi za wanga

1. Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nguvu yaani nishati

2. Husaidia katika kuvunjavunja fati mwilini

3. Hupunguza matumizi ya protini kwa ajili ya kuzalisha nishati

4. Hutumika katika kutengenezea bidhaa na madawa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1706


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Embe
Soma Zaidi...

Zijuwe faida za kula njegere
zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini? Soma Zaidi...

Faida 5 za asali na matumizi yake.
Katika post hii utakwenda kujifunza faida na matumizi ya asali mwilini. Soma Zaidi...

KITABU CHA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

Faida za kula maini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini Soma Zaidi...

Parachichi (avocado)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za parachichi Soma Zaidi...

FAIDA ZA MATUNDA
Somo hili linakwenda kukuletea faida za MATUNDA mbalimbali na mboga, upatikanaji wake na faida zake kiafya. Pia utakwenda kuona MATUNDA na mboga ambayo Ni kinga dhidi ya maradhi hatari Kama kisukari, saratani, maradhi ya moyo na mfumo wa fahamu pamoja na Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mahindi
Soma Zaidi...

Kazi za madini ya Shaba mwilini.
Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo Soma Zaidi...

Faida za kula papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA TUNDA PERA
Pera ni tunda bora lakini pia ni dawa, tambua umuhimu wa tunda hili kiafya Soma Zaidi...