Vyakula vyenye vitamini C kwa wingi

Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye vitamini C kwa wingi

VYAKULA VYENYE VITAMINI C KWA WINGI

Kwa kuwa tumeshajuwa sasa maana na historia ya vitamini C hapa nitakwenda kukueleza chanzo cha vitamini C na je ni katika vyakula vipi tunapata vitamini C. kwa ufupi wa somo ni kuwa vitamini C unaweza kuvipata kwenye matunda yenye ladha ya uchachu uchachu (citrus) na matunda vyenye rangi ya njano na kwenye mboga za majani

 

Vyakula vya vitamini c

1.Pera

2.Pilipili

3.Papai

4.Chungwa

5.Limao/ndimu

6.Zabibu

7.Nanasi

8.Pensheni

9.Kabichi

10.Embe

11.Nyanya

12.Tunguja

13.Palachichi

14.Kitunguu

15.Karoti

16.Epo

 

Tofauti na mboga za majani na matunda ya uchachu na yenye rangi ya njano pia tunaweza kupata vitamini C kwa kula maini, maziwa na mayai. Pia unaweza kupata vitamini C kwa kumezaa vidonge vya vitamini C.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-03     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3964


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Upungufu wa vitamin C mwilini
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kitunguu maji
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu maji Soma Zaidi...

Faida za kula magimbi (taro roots)
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi Soma Zaidi...

NI ZIPI KAZI ZA PROTINI MWILINI?
Makala hii inakwenda kukuletea kazi kuu za protini na vyakula vya protini katika miili yetu. Mkala hii itakusaiidia kujuwa namna ya kupangilia lishe yako kiusalama zaidi baada ya kujuwa kazi za protini katika miili yetu. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za topetope (accustard apple/sweetsop)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope Soma Zaidi...

Faida za mchaichai/ lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mchaichai Soma Zaidi...

Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

Nyanya (tomato)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya Soma Zaidi...

Faida za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe Soma Zaidi...

Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo, Soma Zaidi...

Kazi za virutubisho vya protini mwilini
Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini Soma Zaidi...