Vyakula vya fati na mafuta na kazi zake

Vyakula vya fati na mafuta na kazi zake

Vyakula vya fati na mafuta na kazi zake

VYAKULA VYA FATI

  1. Karanga
  2. Nazi
  3. Maziwa
  4. Mayai
  5. Korosho
  6. Palachichi
  7. Nyama
  8. Samaki
  9. Nafaka

 

Kazi za fati mwilini

  1. Kazi kuu ya fati mwilini ni kutupatia joto.
  2. Fati pia ni chanzo cha nishati mwilini
  3. Utando wa seli umetangenezwa na chembechembe za fati
  4. Ubongo umetengenezwa na fati kwa asilimia 60
  5. Fati husaidia katika ubebwaji wa vitamini ndani ya mwili


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2674

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 ai web app     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Vyakula vya kupunguza presha ya kupanda

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula ambavyo vinaweza kupunguza presha ya kupanda

Soma Zaidi...
Faida za kula tikiti

Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Limao (lemon)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula limao

Soma Zaidi...
Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake

Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,

Soma Zaidi...
Faida na hasara za kufunga (Intermittent Fasting).

​Kufunga kwa vipindi (Intermittent Fasting) sio mlo maalumu, bali ni mtindo wa maisha unaohusu kubadili nyakati unazokula badala ya aina ya chakula unachokula. Mbinu hii imepata umaarufu mkubwa ulimwenguni kwa ahadi yake ya kupunguza uzito na kuboresha afya ya jumla. Makala haya yanachambua nini hasa hufanyika mwilini unapotumia mtindo huu ili uweze kufanya uamuzi sahihi.

Soma Zaidi...